Uchaguzi 2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

Kingine utandawazi unafanya watu wengine wasome sera na hotuba kwa simu na kufanya maamuzi yao bila kwenda uwanjani
 

Kwa kawada ya kampeni za kisiasa mgombea ndio humfuata mpiga kura na si mpiga kura kumfuta mgombea watu wengi wanahangaika na maisha yao ni vema ukawafuata palepale walipo kuliko kuwashawishi kwa tarumbeta wakufuate wafuate hata kama utawakuta ishirini ujumbe utakuwa umefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…