Uchaguzi 2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

Uchaguzi 2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

Mahudhurio yalikuwa mazuri, labda kama lengo ni kupata nyomi na sio kufikisha sera. Mimi binafsi nilitaka cdm wafanye kampeni kwa kanda kwanza kwenye awamu ya kwanza, yaani Dar mkutano mmoja, kisha Arusha mkutano mmoja, Mwanza na Mbeya. Halafu waendelee wabunge kwenye maeneo yao. Kisha mgombea wa Cdm awe na mdahalo kwenye TV wangalau mara moja kila wiki kwa wiki 2. Kisha atoke awamu ya pili kwenda kanda ya magharibi, kanda ya kati na kanda ya kusini. Arudi tena awe na midahalo miwili kwenye TV. Halafu apite zile sehemu zenye washabiki wake wengi ambazo atakuwa hajapita.

Nilichogundua kwenye kampeni za kipindi hiki, ari ya watu kisiasa imeshuka sana kwa wananchi. Hii ndio sababu ccm inatumia zaidi wasanii kwani imejua bila hivyo vivutio, idadi ya wahudhuriaji inakuwa ndogo sana. Na ushukaji huu wa ari ya wananchi kwenye siasa, itasababisha uchaguzi huu kuwa na wapiga kura wachache sana. Rejea idadi ndogo sana ya wapiga Kura. Na yote haya yamesababishwa na rais aliye madarakani kutokutaka siasa kufanyika nchini, lakini aliyetaka chama chake pekee ndio kifanye siasa huku kikiwa hakina mvuto.
Kingine utandawazi unafanya watu wengine wasome sera na hotuba kwa simu na kufanya maamuzi yao bila kwenda uwanjani
 
Natoa ushauri kwa kuwa siipendi ccm na Mimi Sina chama ila napenda haki kwani haki huinua taifa.

Chadema kufanya uzinduzi sehemu tatu kwa siku tatu sehemu moja inachosha.

Watu waliokuepo Leo segerea si Jambo POA kwa mgombea uraisi.

Nadhani mlipaswa mfanye mobilisation mfanye uzinduzi ambao ni great once. First impression matters. Nilishawahi fanya interview naelewa

Nashauri wasije rudia hii kitu mikoa mingine kufanya kampeni sehemu ambazo zipo jirani kwa siku 2 au 3 haitakua poa.

Ni ushauri cause nyie ndio alternative ya CCM

Kwa kawada ya kampeni za kisiasa mgombea ndio humfuata mpiga kura na si mpiga kura kumfuta mgombea watu wengi wanahangaika na maisha yao ni vema ukawafuata palepale walipo kuliko kuwashawishi kwa tarumbeta wakufuate wafuate hata kama utawakuta ishirini ujumbe utakuwa umefika.
 
Back
Top Bottom