Uchaguzi 2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

Na watumbe wanaobebwa kwa malori Kama ng'ombe
Yani Kubeba watu kwenye Malori mnaweza kuichukulia mzaha ila kwa CCM they Sending the Masseji hata kwa hao mnaowaita wakaguzi Wa uchaguzi toka nje once watu wakiwa uwanjani picha zikapigwa nyomi likaonekana Duniani kupitia Mitandao news net work and picture watu hwaawezi jua waliopo pale wamebbwa na Malori watokachojua KUWA CCM kila mkutano wake wanajazaa So Hawa watu wanakubalika na wanapendwa NA NYINYI PICHA ZENU ZIKISAMBAA MNAONA KABISA ZINAPWAYA MTAMSHAWISHI NANI SASA
 
Hao watu wa huko nje ni wajinga wa kiasi hicho, hivi unadhani huwa hawajui mbinu chafu za vyama vikongwe katika nchi za kiafrika? Tanzania ina wananchi 59.7m, unadhani hao wazungu wanaposikia kuna wapiga kura 29m+ yaani nusu ya watanzania wote wamejiandikisha inawaingia akilini? Hivi unadhani wazungu wana akili mgando za hivyo? Wana mabalozi wao hapa nchini na wanaujua ukweli wote.
 
HAKUNA WATU WANAFIKI KAMA HAO WAZUNGU HUU NI UCHAGUZI W KWANZA KWANI WANONA KILA SIKU ILA THEY WILL ALWAYS SIDE WITH THE WINNER KWA MASLAHI YAO SUBILIENI MKISHAPIGWA MUONE WANAVYOWACHAA MSITEGEMEE WAZUNGU TUMIENI AKILI UJANJA PIA ACHENI KUSEMA VYOMBO VYA KIMATAIFA VITAWASAIDI SHIDA HUWA HAMSIMAMII HATA MNACHOONGEA MLISEMA KUHUSU MAANDAMANO SIJUI YAMEISHIA WAPI MNAKWENDA KWENDA KAMA NYANI ILIYOLEWA
 
Mimi sio muumini wa msaada wa hao wazungu, huenda hujui hata nimeongelea nini. Labda urejee uliongea nini, na mimi niliongea nini.
 
Una andaa vipi mkutano wa kampeni siku ambaya Wananchi aka club ya Taifa ina jambo lake! Matatizo mengine mnajitakia wenyewe.
 
wa Cdm awe na mdahalo kwenye TV
Tv zinamuogopa Lisu, bila shaka kutakuwa na vitisho toka serikalini kwa vyombo vya habari juu ya hili.

cdm wafanye kampeni kwa kanda kwanza kwenye awamu ya kwanza, yaani Dar mkutano mmoja, kisha Arusha mkutano mmoja, Mwanza na Mbeya. Halafu waendelee wabunge kwenye maeneo yao.
Akifanya hivo wafuasi wa upinzani ndiyo watapoteza hamasa zaidi. Unajua chachu ya hamasa ya upinzani ktk uchaguzi huu ni Lisu mwenyewe. Kwahiyo ni vema apite miji na majiji yote na ikibidi kila wilaya na majimbo. Mahala pengine arudie hata mara mbili.
Haya ni maoni yangu tu.
 
Mahudhurio yalikuwa mazuri, labda kama lengo ni kupata nyomi na sio kufikisha sera. Mimi binafsi nilitaka cdm wafanye kampeni kwa kanda kwanza kwenye awamu ya kwanza, yaani Dar mkutano mmoja, kisha Arusha mkutano mmoja, Mwanza na Mbeya. Halafu waendelee wabunge kwenye maeneo yao. Kisha mgombea wa Cdm awe na mdahalo kwenye TV wangalau mara moja kila wiki kwa wiki 2. Kisha atoke awamu ya pili kwenda kanda ya magharibi, kanda ya kati na kanda ya kusini. Arudi tena awe na midahalo miwili kwenye TV. Halafu apite zile sehemu zenye washabiki wake wengi ambazo atakuwa hajapita.

Nilichogundua kwenye kampeni za kipindi hiki, ari ya watu kisiasa imeshuka sana kwa wananchi. Hii ndio sababu ccm inatumia zaidi wasanii kwani imejua bila hivyo vivutio, idadi ya wahudhuriaji inakuwa ndogo sana. Na ushukaji huu wa ari ya wananchi kwenye siasa, itasababisha uchaguzi huu kuwa na wapiga kura wachache sana. Rejea idadi ndogo sana ya wapiga Kura. Na yote haya yamesababishwa na rais aliye madarakani kutokutaka siasa kufanyika nchini, lakini aliyetaka chama chake pekee ndio kifanye siasa huku kikiwa hakina mvuto.
Chadema kubariniiii, hamna mgombea mwaka huuuu, ni afadhali muungane kidogo na Hashim rungwee angalau mlete amshaamsha kwa watanzania kwa kuwaahidi kuwapa ubwabwaa.
Huyo mwaliwenu kuchakutwa kumnadi na kumpamba na ngonjera za kutosha, lakini aaaa waaapi. Hadi nyinyiwenyewe kashawachoshaaaa.
 
Tv zinamuogopa Lisu, bila shaka kutakuwa na vitisho toka serikalini kwa vyombo vya habari juu ya hili.

Akifanya hivo wafuasi wa upinzani ndiyo watapoteza hamasa zaidi. Unajua chachu ya hamasa ya upinzani ktk uchaguzi huu ni Lisu mwenyewe. Kwahiyo ni vema apite miji na majiji yote na ikibidi kila wilaya na majimbo. Mahala pengine arudie hata mara mbili.
Haya ni maoni yangu tu.
Ili Afanyaje Ashinde au
 
Natoa ushauri kwa kuwa siipendi ccm na Mimi Sina chama ila napenda haki kwani haki huinua taifa.

Chadema kufanya uzinduzi sehemu tatu kwa siku tatu sehemu moja inachosha.

Watu waliokuepo Leo segerea si Jambo POA kwa mgombea uraisi.

Nadhani mlipaswa mfanye mobilisation mfanye uzinduzi ambao ni great once. First impression matters. Nilishawahi fanya interview naelewa

Nashauri wasije rudia hii kitu mikoa mingine kufanya kampeni sehemu ambazo zipo jirani kwa siku 2 au 3 haitakua poa.

Ni ushauri cause nyie ndio alternative ya CCM
Hapana! Huu mkakati ni bomba. Achana na nyomi ya mara moja. Nyomi za kati tatu ni zaidi ya nyomi moja kubwa. Pia unapata nafasi ya kusema jipya au kusahihisha yaliyokosewa wakati bado uko eneo hilo. Kwa mfano, katika kuhutubia, Tabata wamejiandaa kuliko Mbagala na Kawe. Tabata madini kibao. Endeleeni hivyo, na vyama vingine vitaiga, na sisi wananchi tutawaelewa vizuri.
 
Yani Kubeba watu kwenye Malori mnaweza kuichukulia mzaha ila kwa CCM they Sending the Masseji hata kwa hao mnaowaita wakaguzi Wa uchaguzi toka nje once watu wakiwa uwanjani picha zikapigwa nyomi likaonekana Duniani kupitia Mitandao news net work and picture watu hwaawezi jua waliopo pale wamebbwa na Malori watokachojua KUWA CCM kila mkutano wake wanajazaa So Hawa watu wanakubalika na wanapendwa NA NYINYI PICHA ZENU ZIKISAMBAA MNAONA KABISA ZINAPWAYA MTAMSHAWISHI NANI SASA
Mkuu kura hazipwi kwenye mkutano na CCM hawaibi kura kwa kubeba watu kwenye malori.Hilli la kubeba watu kwenye malori ccm hawajalianza Leo na swala la kujaza watu kwenye mikutano kwa kubeba watu na kupiga picha halijaanza leo pia na still 2015 Magu alishindwa.Safari hii pia atashindwa na kubeba kwake watu kwenye malori
 
Hapana! Huu mkakati ni bomba. Achana na nyomi ya mara moja. Nyomi za kati tatu ni zaidi ya nyomi moja kubwa. Pia unapata nafasi ya kusema jipya au kusahihisha yaliyokosewa wakati bado uko eneo hilo. Kwa mfano, katika kuhutubia, Tabata wamejiandaa kuliko Mbagala na Kawe. Tabata madini kibao. Endeleeni hivyo, na vyama vingine vitaiga, na sisi wananchi tutawaelewa vizuri.
Ni kweli mkuu,I enjoyed ka mkutano ka leo pale liwiti tabata yule jamaa aliyezungumza kabla ya Lissu was excellent,Lissu was also so excellence and Mbowe
 
Mkuu kura hazipwi kwenye mkutano na CCM hawaibi kura kwa kubeba watu kwenye malori.Hilli la kubeba watu kwenye malori ccm hawajalianza Leo na swala la kujaza watu kwenye mikutano kwa kubeba watu na kupiga picha halijaanza leo pia na still 2015 Magu alishindwa.Safari hii pia atashindwa na kubeba kwake watu kwenye malori
Alshindwa Na Akawa Rais Duh Kweli BAVICHA BANGE ZINASUMBUA
 
Back
Top Bottom