Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Kama Ccm imeweza kutawala nchi hii tena kwa miaka kibao, basi hakuna chama kitakachoshindwa kuongoza hili taifa achilia mbali hao Chadema!Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna.
Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu.
Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas.
Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi.
Polical chaos will emerge. Hawa jamaa hawafai kabisa