Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

Kama Ccm imeweza kutawala nchi hii tena kwa miaka kibao, basi hakuna chama kitakachoshindwa kuongoza hili taifa achilia mbali hao Chadema!
 
Hivi mtu na akili zake timamu anaweza kweli kufikiri kuifanya chadema hii ya sasa hivi kuwa chama tawala?
 
Ukweli ni kwamba CHADEMA wakipewa madaraka ya nchi at least tutaanza upya kama Taifa.

CCM imepoteza dira na mwelekeo since enzi za Kolimba. Haijawahi kukaa sawa ndo maana kila kukicha tunaombea tupate kiongozi bora. Hatuna habari ya kutibu mfumo
 
Who are you by the way ?
 
Wako hivi

 
Wana kila dalili mbaya.

Matumizi mabaya ya rasilimali : pamoja na kupokea ruzuku mwaka wa 30 hawana ofisi.

Matumizi mabaya ya ofisi : kutoa nafasi za upendeleo za ubunge kwa wapenzi na ndugu wa karibu.

Uchu wa madaraka : kuwa na mwenyekiti mmoja kwa zaidi ya miaka 20.

Matumuzi mabaya ya rasilimali watu : kufukuza kila mtu mwenye fikra tofauti na viongozi wa chama.

Kukosa mipango ya muda mrefu: kutoona umuhimu wa kulea vijana watakaoshika nafasi za uongozi katika chama.
 
Kwani huko kuna Worse kipi zaidi ya CCm?
A lot:
1. Chadema iko more disorganized kuliko ccm.
2. Chadema haina uongozi, afadhali ccm ingawa viongozi wenyewe ndo hao kina mzee ndovu.
3. Chadema hawana kitu tangible wanachokisimamia, they are just a bunch of event oriented loosers.
Niendelee au nisiendelee?
 
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana kwa members wengi wa JF kulingana na uzi huu. Kweli mtu anaandika kuwa TZ sio masikini kwa sababu watu wanamiliki smartphone?
Nachoshindwa kuelewa CCM ndio imeharibu watu kuwa mataahira au watu mataahira ndio walioiharibu CCM?
Nisaidieni uelewa hapo!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nini maana ya umasikini? Poverty?
 
Umemaliza
 
Kuna watu muda wote wanaiwazia CCM na CHADEMA halafu ukiwafuatilia maisha yao ni duni kuliko hata hao viongozi wa CCM na CHADEMA.

Mimi naona vyovyote inawezekana na itafaa.
Kilichokuwa kinaniumiza ni Magufuli ila Mungu fundi aliamulia ugomvi.
Huyo mshenzi alikula pesa zetu za rambirambi huku kagera na matusi akatutolea, ila Mungu alisikia kilio chetu
 
Vice versa is true,

Coin Ina pande mbili.

Tuvipe vyama kinzani madaraka Ili kutafuta ufanisi.

Tumeona wakisimamia majimbo vizuri walipopewa nafasi .

Jimbo la karatu ni la kupigiwa mfano.

Ameeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…