kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Ipo sahihi!Chadema n kichwa cha mwendawazimu.
Mm Nasubir maandamano ya wananchi wnyw kuipinga serikali na sio maandamano kuratibiwa na chama cha siasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo sahihi!Chadema n kichwa cha mwendawazimu.
Mm Nasubir maandamano ya wananchi wnyw kuipinga serikali na sio maandamano kuratibiwa na chama cha siasa.
Chadee Watasumbua mpaka basi lo nahivi mwakani ni uchaguzi!
Mahakama ipi, hii inayojivuta wakati tayari ina kesi ya kuzuia Tamisemi wasisimamie uchaguzi wa serekali za mitaa, lakini hawatoi hukumu hadi sasa. Kama kuna muhimili umepoteza credibility wa kwanza ni huo wa mahakama.Ni kweli... Kwenye hili wanakosea. Walipaswa kwenda mahakamani kuomba mkazo kwenye hukumu ya wakurugenzi wa majiji na halmashauri kusimamia uchaguzi.
Kenya wana katiba bora, hayo yanawezekana.sasa waandamanaji wanaogopa polisi ? unaona waandamanaji wa kweli wa kenya walikuwa wanaandamana na wanajeshi wako mitaani chadema hakuna kitu hapo upinzani wa kudumu hawana mvuto pia
Wajanja sana, wanataka kuhishugulisha serikali itoke nje ya mstari...Chadee Watasumbua mpaka basi lo nahivi mwakani ni uchaguzi!
Noumaaa tupu
Jikite kwenye mada husika kama huna cha kuchangia bora ukae kimya!Huna akili
Ungejikita kwenye mada usinge andika uchafu wako we unazani kila mtu ni chawa boyaa wewJikite kwenye mada husika kama huna cha kuchangia bora ukae kimya!
Mnafiki mkubwa wewe ungekuwa siyo chawa ungetoka kuandamana nguchiro wewe!Ungejikita kwenye mada usinge andika uchafu wako we unazani kila mtu ni chawa boyaa wew
Watasubiri sana!Chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo. Ni chama kinachoamini kuwa bila maandamano huwezi kupata maendeleo.
😃 Kwahiyo mkuu kipara Kipya, bila usafiri hawawezi kwenda kwa kujitegemea??Bora wao wana wajali wanachama wao kama wafalme!
Chama kinahitaji wanachama kuna muda lazima chama kirudishe fadhila na wanachama wafaidi michango yao!😃 Kwahiyo mkuu kipara Kipya, bila usafiri hawawezi kwenda kwa kujitegemea??