CHADEMA hawakujifunza Septemba 23?

CHADEMA hawakujifunza Septemba 23?

Ni kweli... Kwenye hili wanakosea. Walipaswa kwenda mahakamani kuomba mkazo kwenye hukumu ya wakurugenzi wa majiji na halmashauri kusimamia uchaguzi.
Mahakama ipi, hii inayojivuta wakati tayari ina kesi ya kuzuia Tamisemi wasisimamie uchaguzi wa serekali za mitaa, lakini hawatoi hukumu hadi sasa. Kama kuna muhimili umepoteza credibility wa kwanza ni huo wa mahakama.
 
sasa waandamanaji wanaogopa polisi ? unaona waandamanaji wa kweli wa kenya walikuwa wanaandamana na wanajeshi wako mitaani chadema hakuna kitu hapo upinzani wa kudumu hawana mvuto pia
Kenya wana katiba bora, hayo yanawezekana.
 
Chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo. Ni chama kinachoamini kuwa bila maandamano huwezi kupata maendeleo.
 
Back
Top Bottom