TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Huyo alikuwa akikata viuno ili kuwahadaa Wafadhili wa Magharibi, Uchaguzi ulishapangwa uibiwe kwa kuitumia Tume ya CCM ya Uchaguzi ikiongozwa na Wakurugenzi waliohongwa Magari na Mishahara Minono huyu Mkata kiuno ni wa kumuonea huruma tuLeo wanataka kumshusha Diamond Platinum kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Mtoto wa watu masikini has nothing to DO with politics msimuaribie maisha .Huyo alikuwa akikata viuno ili kuwahadaa Wafadhili wa Magharibi Uchaguzi ulishapangwa uibiwe kwa kuitumia Tume ya CCM ya Uchaguzi ikiongozwa na Wakurugenzi waliohongwa Magari na Mishahara Minono huyu Mkata kiuno ni kumuonea huruma tu
Huo sio msimamo wa Chadema ila wacha apopolewe kidogoMtoto wa watu masikini has nothing to DO with politics msimuaribie maisha .
Aliilaani sana baba yako Magufuri yuko wapi wapi kama alibarikiwa na CHADEMA ililaaniwa?Chadema ni laana toka kwa Mungu
Albadiri ya Magufuli ilishindwa ndio iwe ya kapuku mbobeziChadema ni laana toka kwa Mungu
Ndiyo maana 2019 mkatuletea asilimia kubwa ya wnyeviti wa vijiji na mitaa majambazi,na 2020 mkazima mitandao yote,vyombo vya ulinzi na usalama vikawa vitamba kila mahali,taarifa za habari makini za ndani na nje ya nchi mkazuia ikabaki ni miziki tu,watu wengi wakaishia mahabusu wengine vilema na wengine kupoteza maisha sababu ya uchaguzi feki,nakwaambia mtavuna mlichopanda shenzi sana ninyi.Hizo sababu za kuwa disqualified unadhani nani kazipeleka?
Yaani ukisoma hizo taarifa kama hauko tz unaweza sema kati ta 2015 -2021 tanzania ilikua ni full vita hakukaliki.
kwa propaganda vyombo vya nje nawapa heko. Na majinga yanaingia kama yalivyo kichwa kifua na fumbatio.
MOND is there to stay, legacy yake iko intact na hapa kwa watu wenye akili mond anapata sifa zaidi kwa kusimamia anachoamini.