CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

A
Angekitolea mfano chama tawala angalau ningemwelewa Kwa maana wanachukua karibu 90%y. ya ruzuku
 
Kuna wakati unakuwa na hoja nzuri ,ruzuku iondolewe kwenye vyama vya siasa wanachama wanatakiwa wajichange kuendesha
 
Na hii ndo inafanya mbowe aifanye cdm kama saccos , anaweka shilingi 5 akija kutoa anatoa shiling 8 .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mayalla angesema tu MBOWE ASIPEWE RUZUKU kwasababu ruzuku ya CHADEMA huwa ni yake binafsi.
Kivipi??

Mbowe hakuingia kwenye siasa kufuata ruzuku. Baba yake ni miongoni mwa watu waliompa Mwalimu hela ya nauli aende UNO zama hizo kabla ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1960-1961.

Lile shamba lao lililoharibiwa wakati ule limo kwenye familia yao kwa miaka zaidi ya 80. Ni wana siasa wangapi wana historia kama hiyo??

Sema utafiti wa TWAWEZA ulionesha watu wa chama chenu huamini kila wanachoambiwa na viongozi wao.
 
I igree with you
 
Cha ajabu kabisa.

Kila wakati wanawasimanga ila wakianza kuzungumza au kufanya mikutano mtaa wa pili wanashikwa na taharuki.

..wanawaalika kwenye vikao lakini hawataki kusikiliza maoni yao.

..mchangiaji wa Chadema alipozungumza watu walioandaliwa wakaanza kuomba "muongozo" na kutaka kumpa "taarifa" kana kwamba wako Bungeni!!
 
Kama anaongea pumba asipewe muongozo?
 
CHADEMA inaingiaje hapo?. CCM ndio wanaongoza kwa kulipwa Ruzuku ndefu kwa mwezi. Wanalipwa Bilioni moja na millioni mia nne kwa mwezi. Sasa Ruzuku ikiondolewa nani ataumia kati ya CCM na CHADEMA inatopikea millioni mia mbili kwa mwezi.
 
Na hii ndo inafanya mbowe aifanye cdm kama saccos , anaweka shilingi 5 akija kutoa anatoa shiling 8 .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app

Punguza kuropoka. Unaelewa mwenye Mali za CHADEMA ni nani?. Nenda mahakamani ukaulize, Kuna bodi ya wadhamini, acheni siasa nyepesi. Ruzuku ikifutwa CCM itakufa maana inapokea Bilioni moja na millioni mia nne kwa mwezi. Sasa iondoe hiyo uone Cha moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…