Chadema hawawezi kuwa kama Gen Z kwa sababu hawana Mtandao wa Falsafa za Teknolojia, bado wanakusanyika kama enzi za Yesu

Kwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!
Kaniudhi sana huyo samahani mkuu
 
Kwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!
Yaaan mkuu umeniwakiaa hatari wkt mm pia nimemuuliza swali Hilo kuwa ktk hlo kundi ndio ameona hamna wasomii 🤭🤭
 
Back
Top Bottom