Kaniudhi sana huyo samahani mkuuKwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaniudhi sana huyo samahani mkuuKwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!
Yaaan mkuu umeniwakiaa hatari wkt mm pia nimemuuliza swali Hilo kuwa ktk hlo kundi ndio ameona hamna wasomii 🤭🤭Kwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!
People's Power ✌️ NO HATE NO FEAR!Walianza kusema Chadema Cha wakristo, wachaga, magaidi na Sasa gen-z. Na bado mtamaliza majina yote Chadema haifi.
Alipata akili mapema akaachana nao, wewe umeamua kuzeekea huko huko greenguard!Green guard usiwachukulie poa Mwenyekiti wako Mbowe alianziaga huko 😄😄