CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

Wengi walikuwa wanadai katiba ili wapewe uhuru wa kuichamba serikali
 
Ndio muwe na adabu,anaweza fanya na akasefugadi maslahi ya wazungu na maisha yakaenda kama Kawa nyie mkabaki mnalia Lia hovyo kama watoto wa nguruwe.

Mkiambiwa tulieni kwanza eleweni

Urais ni kwa mujibu wa katiba anaapa kuiheshimu na kuilinda katiba. Si hisani wala nchi si shamba la bibi.

Ndiyo maana takwa la katiba bora zaidi laweza kubezwa na wasioelewa au wanufaika peke yake.
 
Urais ni kwa mujibu wa katiba anaapa kuiheshimu na kuilinda katiba. Si hisani wala nchi si shamba la bibi.

Ndiyo maana takwa la katiba bora zaidi laweza kubezwa na wasioelewa au wanufaika peke yake.
Hizo ni amri za Rais ziko kwa mujibu wa Katiba ,akitoa executive order lazima kuheshimu sio kuleta ukaidi wa kipuuzi.
 
Hizo ni amri za Rais ziko kwa mujibu wa Katiba ,akitoa executive order lazima kuheshimu sio kuleta ukaidi wa kipuuzi.

Kuuwa watu kikatili kwa kuwahisi tu ni kosa kisheria na linavutia shauri mahakamani ikibidi walikofikishwa kina Charles Taylor.

Haijawahi wewe unataka kuiitaje kuihalalisha.
 
kwan wewe unatafauti gan na mfu! kinachokupa kiburi ni mda ila unafuata pia

Mkuu Papushikashi kifo ni jambo la kawaida lisilopaswa kupotoshwa potoshwa kwa watu wenye akili zao, kama huyu bwana stakehigh anavyotaka kufanya:

 
Chadema ni genge la wahalifu.Nilikuwa nawaunga mkono lakini hizi kauli zao dhidi ya mh Mama Samia Rais wa JMT,hazivumiliki.

Nimemsikia Mdude akiongea hana adabu kabisa kwa Rais.Naamini ameshinda kesi kwa sababu mama anataka haki.Leo anakuja kuongea eti akimtisha Rais?!!

Kwa nini msifanye siasa za kistaarabu?Maana serikali ikiamua ubabe si mtaisha?Hivi ninyi ni watu wa namna gani?na mnaitakia nini nchi hii?
 

Mkuu sheria za natural justice zinakataa generalization of crimes. Kosa la mtu mmoja au kadhaa haliwezi kuwa kosa la kundi au jamii nzima. Kwamba samaki mmoja akioza basi ni wote? Hiyo labda uswahilini tu.

Chadema si Mdude wala Mbowe wala awaye yote.

Inafahamika kuna watu wanafanya jitihada kubwa sana na za kila namna kumfarakanisha Mama na yeyote na kwa lolote hata kama ni la kijinga.

Umewasikia hawa?


Na hawa je?


Cc: Extrovert
Mmawia imhotep
BAK
 
Unacheza na uhitaji wa madaraka wewe, hapo wala haitafutwi katiba
 
Wana maumivu ya uchaguzi wa 2020 wanadhani bado wako kwenye kampeni za uchaguzi
 

kuambiwa kwamba utakata moto ndo ndo kupotoshwa? yaaani wewe tafauti yako ya yule aliefukiwa na wewe ni uzi wa mda! infact according to theory of relativity, wewe tayar ushakufa, uko kwenye illusion ya nyuma ya mda! if all factors of space time zkiwa in place anyone who travels to the future anakukuta umeshakufa, sasa kiburi unatoa wap?
 
Kuelewa chadema wanataka nini ni kazi sana kama kuelewa kiuno cha nyoka kiko wapi ukivishe shanga.
Chadema ni sawa na vijana wawindaji walioenda kuwinda porini na mbwa ,kila mwindaji anapiga mluzi hatimaye mbwa hajui afuate mluzi upi.
 
Magufuli hakuletwa kwa mambo ndani ya chadema.
Aliletwa kutokana na vita za kipumbavu ndani ya ccm.
Labda kama hujaweka rekodi sawa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…