Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki yake kufanya hivyo. Anaweza kuwaomba ushari wakina Cecil Mwambe. Na kabla hajahama CCM aombe ushauri wale wote waliowahi kugombea uenyekiti dhidi ya incumbent Mwenyekiti wa taifa.Kabla hajagombea amuombe ushauri Zitto
Wananchi wepi? Pia naomba ujue...ni kosa kubwa sana agenda ya katiba kubebwa na chama cha siasa...hapo tu panatosha kuwa point of failureKufananisha madai katiba na mke sijui mimba ni insanity think big, Mwendazake alitumia udhaifu wa katiba tulionayo kutaka kutaka kuuwa upinzani nchini, kutesa watu na kuuwa, sasa wenye akili lazima wadeal na katiba kwanza.
Pili lazima ujue matakwa ya katiba sio isani ya Mama ni takwa la wananchi.
Tafuta clip ya Prof Rweitama alzungumzia vizuri sana kwenye kongamano la katiba pale Baracuda
Tatizo la hawa jamaa hawasikilizi...mama samia ni msikivu sanaDuh masikini ya Mungu..hamjitambui kabisa
Umeandika kama Magufuli bado yupo hai..
Mtaji wa kumpinga Magufuli haupo..
Lissu umaarufu wake kwa kumpinga Magufuli umeshashuka...
Watu wanamsikiliza Samia kuliko Lissu
The sands has shifted beneath...eleweni
Si ya wale wabunge 19, hivi inaingia akilini mama watoto wako anaenda kuapishwa we hujui?Ruzuku ipi wanayopokea?
Amandla...
Amani iwe nanyi nyote..
Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na Rais tunahitaji Rais Dikteta naomba niseme ukweli niliungana na CHADEMA, na katika uchaguzi niliisaidia kweli kweli kwa mapenzi ya kutoka moyoni
Mungu si Athumani tukaletewa jiwe, mwamba kweli kweli, ghafla tukashuhudia hakuna uhuru wa habari! utekaji kila kona, watumishi wakapauka na nataka niseme ukweli kura nilimpa Lissu na nilimpambania hadi kwa ndugu zangu.
Ila Mungu si mzee Hassan katikati ya giza katuletea mama, msikivu ndani ya miezi mitatu nyoyo zimetua, matumaini yamefufuka.
Mama msema kweli katwambia uchumi wetu umeyumba tupige kazi tuukuze, leo mnataka kuleta ngebe, ndani ya miezi mitatu mnataka katiba, hii ni sawa na kuoa mke kisha ndani ya mwezi unamdai mtoto hata mimba huchukua miezi 9 kuzaliwa.
Hayo mnayoyafanya ndo yalisababisha tuletewe jiwe, safari hii hatukubali, tutaenda taratibu na mama.
😂😂😂Mungu si Athumani tukaletewa jiwe, mwamba kweli kweli, ghafla tukashuhudia hakuna uhuru wa habari! utekaji kila kona, watumishi wakapauka na nataka niseme ukweli kura nilimpa Lissu na nilimpambania hadi kwa ndugu zangu.
Kwamba?Jiwe alikuwa na shida zake binafsi ila kwa maza Pini watapigwa na maisha yatasonga.Jiwe alikuwa anapora pesa,anabambikia kesi,anatosa watu baharini,anateka nk nk.
Maza atafanya kama Rwanda,Uganda,China nk yaani ugomvi uwe kwenye siasa sio kwenye uchumi
Malisa ni Mzee yule ujana unaishia miaka 35 tu acheni ujinga hafu 2025 hamtapata hata hao wabunge wa viti maalumu yaani mtaambulia kapa kabisa
Naomba rekebisha sio takwa la wananchi ni takwa la wanasiasa, wananchi tumempa muda mama, hitaji letu kwa sasa ni kuboreshewa uchumi wetu.Kufananisha madai katiba na mke sijui mimba ni insanity think big, Mwendazake alitumia udhaifu wa katiba tulionayo kutaka kutaka kuuwa upinzani nchini, kutesa watu na kuuwa, sasa wenye akili lazima wadeal na katiba kwanza.
Pili lazima ujue matakwa ya katiba sio isani ya Mama ni takwa la wananchi.
Tafuta clip ya Prof Rweitama alzungumzia vizuri sana kwenye kongamano la katiba pale Baracuda
Naunganmkono hoja. Chadrma ni kikundi cha wahuni. Yaan hata jiwe hajapasuka tumbo tayar nchi washaleta fujo.
Kwa kweli kwa hili tuko na mama.
Kwanza katiba si hitaji la wananchi ni hitaji la chadema washinde uchaguzi waende ikulu.
Hatukubali.
Naomba rekebisha sio takwa la wananchi ni takwa la wanasiasa, wananchi tumempa muda mama, hitaji letu kwa sasa ni kuboreshewa uchumi wetu.
Mngekuwa na nia ya dhati mngetuorganize wananchi tuingie barabarani wakati ule mnaona Magufuli anavunja katiba lakini mlikimbilia dubei..,mlitukimbia. Leo tumepoa, tuna matumaini ndo mnaanza kelele, tena wakati ambao mama kutuomba tumpe muda atafute posho za kuwalipa wakati wa kuandaa hiyo katiba...hatuwaelewi
Huyu mwamba kidogo kanishawishi! Nahitaji point kama hizi sio kelele za Aikael na genge lake la wahuni!Extrovert umemsikia huyu naye alikuwa na mawazo kama yako. Hujatokea pia kutupa mrejesho kama unasimama na ardhi yako:
View attachment 1838638
View attachment 1838639
Cc: Mamy K
Mmeambiwa mseme mmemlipa nani mmeshindwa. Mbowe amesema Mgwilu huwa anampigia simu akimuomba wakachukue rushwa ya ruzuka na anamkatalia. Waziri wa Fedha hakukanusha hili. Swali linabaki pale pale, nani analipwa hiyo mnayoita ruzuku ya Chadema?Si ya wale wabunge 19, hivi inaingia akilini mama watoto wako anaenda kuapishwa we hujui?
Bora Bananga kakataa unafki kasema anasimama na mkewe kwanza nyie bavicha badae. Ila Mwenyekiti yeye anajizungusha zungusha tu.
You are right Mbowe ni msumbufu aliyepitwa na wakati kiuongozi hana substance mpya.Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe.
Huoni tatizo lilipo?
Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya
Anajaribu old stunts kubaki relevant
Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'..
Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa
Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu
Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe..
Wanatakiwa kuji brand upya
Nusu ya watanzania ni under 25 years old..
Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995..
Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari
Wewe ndio mtu, kabla ya kuahidi kuingia barabarani mngekuja na sera ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kanuni mbovu zilizo kwenye katiba iliyopo, wananchi wangedai katiba wenyewe hata kama Mwenyekiti angerudi dubei...ila sio kumpiga mikwara Rais wetu na kuchallenge amani yetu.Extrovert umemsikia huyu naye alikuwa na mawazo kama yako. Hujatokea pia kutupa mrejesho kama unasimama na ardhi yako:
View attachment 1838638
View attachment 1838639
Cc: Mamy K
Mngefurahi sana kama Chadema wangekuwa kama TLP. Mtasubiri sana.Walimuita JK dhaifu, JK akasema yeye walimsema mpole hivi sasa anawaletea mkali... JK aliyajua haya maupumbavu yao..
Magu kaja pamoja na mambo yake lakini aliukomesha huu utoto na wala hakuuendekeza kabisa...maana alijua akiwaendekeza watamtoa kwenye reli na hao hao watakuja kumkejeli kama walivyomkejeli JK hata alipojaribu kwenda nao sawa... CDM wamejaa utoto mwiiingi saana yani badooo saaana ukomavu kwenye siasa, sifuri kabisa...
Tabia za kitoto za CDM kama taifa tukiziendekeza tunaweza kuingia kwenye migogoro itakayotishia uhai wa Taifa na watu wake....kuna haja wazee wenye busara walioko huko CDM waliangalie hili kwa kuitisha vikao vya ndani na kuendesha mafunzo ya siasa kuwafundisha vijana siasa na kuwafundisha wajifunze kutenganisha siasa za vyama na dola..
Wabadili kwanza katiba ya chama chao ambacho m/kiti ni kama yule wa jirani na Bukoba na makamu wake yupo kusiko julikana anapayuko payuka tu, Tupe raha mama nchi inaenda kuwa ya asali na maziwa waliopo nje ya nchi tunawaambia nyumbani kumenoga.Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe.
Huoni tatizo lilipo?
Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya
Anajaribu old stunts kubaki relevant
Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'..
Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa
Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu
Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe..
Wanatakiwa kuji brand upya
Nusu ya watanzania ni under 25 years old..
Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995..
Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari