CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

Kwa kweli wamenifikirisha hawa ndugu zangu si kwa haraka hii walonayo huku wakitishia uvunjifu wa amani.
Wananchi tuna majeraha kutokana na utawala wa kiimla tulokuwa tukiuelekea...wao wangeanzia chini wangekuja na sera mbadala za kuwapa matumaini watu. wangewaelewesha wananchi sheria zote kandamizi zilizopelekea majeraha haya...hapo wananchi wenyewe wangedai katiba, sio kukurupuka ndani ya miezi mitatu kuanza kudai katiba...hatuwaelewi
KATIBA NA MIKUTANO YA VYAMA NI HARAKA, HAKUNA WA KUZUIA LABDA MUNGU TU, KATIBA INAKUJA NA VYAMA VITAFANYA MIKUTANO MMEZIDI SANA CCM
 
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe..

Huoni tatizo lilipo???

Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya
Anajaribu old stunts kubaki relevant

Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'..

Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa
Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu
Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe..

Wanatakiwa kuji brand upya
Nusu ya watanzania ni under 25 years old..
Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995..

Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari
Nimekubaliana nawewe 100%
 
Reasoning yako mbovu sana, unatumia mahaba ya "mama" kufikiria badala ya logic, unasema Chadema iko outdated kisa Mbowe kukaa madarakani muda mrefu ila bado CCM inalazimisha ushindi mbele ya Chadema kwa kutumia kura feki za kwenye mabegi meusi, na msaada wa polisi na Tume ya uchaguzi, jifunze kutafakari kwa makini wacha kukurupuka kwa kuongozwa na mahaba wewe msukule wa mama, anyway hata mjinga nae ana confidence.
 
Mbowe , Mbowe. , Mbowe , Mbowe , Mbowe aaaaah jaribuni figure ingine tumechoka
 
Chadema ni chama cha umma sio cha mwenyekiti. Mkikosea spana ziko pale pale.
Chadema ni chama cha wanachama wake kama ilivyo kwa CCM. Sana za mtu ambae si mwanachama hazitawanyima usingizi.

Serikali ni ya umma na huko ndiko spana za raia yeyote bila kujali itikadi zinaweza kuwakosesha usingizi.

Amandla...
 
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe.

Huoni tatizo lilipo?

Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya
Anajaribu old stunts kubaki relevant

Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'..

Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa
Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu
Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe..

Wanatakiwa kuji brand upya
Nusu ya watanzania ni under 25 years old..
Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995..

Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari
Ccm toka uhuru, nayo haina jipya,imekosa ushawishi.Sio Mbowe tu.
 
Eti tija ya Taifa hebu badilisheni Mwenyekiti wa tokea enzi za Pontio Pilato.
Jiunge na Chadema ugombee uenyekiti. Kama sio mwanachama masuala ya Mwenyenyekiti kuwepo toka enzi za Zinjanthropus hayakuhusu.

Amandla...
 
Tokea nizaliwe sijawahi kusapoti CCM na Kura miaka yote nawapigia chadema Ila Kwa kitendo chao cha kishamba eti tuingie barabaran kudai katiba mpya ni UJINGA mtupu!

mbinu za kizamani Sana hizi za kuhamasisha Fujo angalia maneno ya mdude juzi hayana hata adabu ameshindwa kukumbuka kuwa raisi Samia kamtoa jela(shukrani ya punda kabisa hii).

sijawahi kuponda chama changu hata siku moja Ila Kwa hili tukio la mbowe nimeanza kuwachoka wapinzani na nahisi huu ndiyo mwanzo wangu wa kukataa mambo ya vyama
Jiunge tu na chama pendwa kama siasa za kizamani za Chadema hauzipendi. Wako wanaozipenda na wataendelea kukipigia kura.

Amandla...
 
Jiunge na Chadema ugombee uenyekiti. Kama sio mwanachama masuala ya Mwenyenyekiti kuwepo toka enzi za Zinjanthropus hayakuhusu.

Amandla...
Yananihusu sana kwasababu nyie mnapokea ruzuku ya serikali ambayo mimi ni mlipa kodi wake.
 
Kwa nini mnajikita na Chadema tu wakati kuna vyama vingine vingi vya upinzani?!

Viko CUF ya Lipumba, NCCR ya Mbatia, TLP ya Mrema, UDP, CHAUMA n.k kwa nini kila siku mada ni CHADEMA na Mbowe?!
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe.

Huoni tatizo lilipo?

Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya
Anajaribu old stunts kubaki relevant

Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'..

Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa
Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu
Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe..

Wanatakiwa kuji brand upya
Nusu ya watanzania ni under 25 years old..
Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995..

Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari
 
Babu Tale ni mjumbe wa kamati ya fedha na uchumi UVCCM
Malisa ni Mzee yule ujana unaishia miaka 35 tu acheni ujinga hafu 2025 hamtapata hata hao wabunge wa viti maalumu yaani mtaambulia kapa kabisa
 
Amani iwe nanyi nyote..

Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na Rais tunahitaji Rais Dikteta...naomba niseme ukweli niliungana na CHADEMA, na katika uchaguzi niliisaidia kweli kweli kwa mapenzi ya kutoka moyoni

Mungu si Athumani tukaletewa jiwe, mwamba kweli kweli, ghafla tukashuhudia hakuna uhuru wa habari! utekaji kila kona, watumishi wakapauka na nataka niseme ukweli kura nilimpa Lissu na nilimpambania hadi kwa ndugu zangu.

Ila Mungu si mzee Hassan katikati ya giza katuletea mama, msikivu ndani ya miezi mitatu nyoyo zimetua, matumaini yamefufuka.
Mama msema kweli katwambia uchumi wetu umeyumba tupige kazi tuukuze, leo mnataka kuleta ngebe, ndani ya miezi mitatu mnataka katiba, hii ni sawa na kuoa mke kisha ndani ya mwezi unamdai mtoto hata mimba huchukua miezi 9 kuzaliwa.

Hayo mnayoyafanya ndo yalisababisha tuletewe jiwe, safari hii hatukubali, tutaenda taratibu na mama.
Kufananisha madai katiba na mke sijui mimba ni insanity think big, Mwendazake alitumia udhaifu wa katiba tulionayo kutaka kutaka kuuwa upinzani nchini, kutesa watu na kuuwa, sasa wenye akili lazima wadeal na katiba kwanza.

Pili lazima ujue matakwa ya katiba sio isani ya Mama ni takwa la wananchi.

Tafuta clip ya Prof Rweitama alzungumzia vizuri sana kwenye kongamano la katiba pale Baracuda
 
Back
Top Bottom