gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Wacha chadema wafanye kazi yao ya kuchochea mapinduzi ya fikra kwa waliowengi.huwezi kumkomboa kifikra mtu mwenye mawazo yakikondoo kwa lugha laini na nyepesi.Watu wakiwa na mawazo chanya,kujitambua na kujua haki zao zakiraia nfipo tutakapoweza kutengeneza taifa lenye wananchi wenye uwezo wakujiamini,kuthubutu,kupambana na kushindana.Nchi bado ina safari ndefu na Jpm ni sehemu tu ya aina ya viongozi waliopata kuhudumu kama rais na kila rais atakuja na aina yake ya uongozi kwahiyo hakuna aliyekomolewa.Cha msingi chadema wasivunje sheria za nchi mengine ni yakawaida sana.