Tuangalie safu ya vyama vyote
Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania.
Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea
Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka mingi, mbunge wa miakq mingi
Makamo mwenyekiti chadema- mbunge wa miaka 10.
Makamo mwenyekiti Zanzibar ccm- Rais, waziri wa miaka mingi
Makamo mwenyekiti wa chadema Zanzibar- Wakili ambae hajulikani wala kufahamika Zanzibar, jina lake genius ktk siasa.
Kwa hali hii chadema hii ya Lissu itaambuliq angalau mbunge mmoja?