Chadema hii ndio fursa itumieni vizuri.

Chadema hii ndio fursa itumieni vizuri.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi.

Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola.

Changamkeni mtumie hii fursa.
 
Kwani CDM wana dola?
 
Kiuhalisia wananchi wengi hawamwelewi mama tozo,na chama pinzani wangeweka mgombea anaekubalika wangefaulu,lakini kila chaguzi ni huyohuyo kana kwamba hakuna wenye uwezo wa kuongoza nchi,
Sasa ukichanganya na wale policcm ndio balaa kabisa
 
Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi.

Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola.

Changamkeni mtumie hii fursa.
Mfumo wa uchaguzi ubadilike kwanza ndio upinzani utafaulu, lakini chaguzi zinasimamiwa na TISS na Polisi kwa kuingiza kura bandia kwa nguvu utake usitake, upinzani hawawezi kuiondoa CCM hata Kama wameshinda. Mfano wa chaguzi zisizo na tija imeonyeshwa leo ambapo CCM wamemchagua Kinana kwa kura 100% wakati Hakuna anayeshindana naye, sijui huo ni uchaguzi wa aina gani!
 
Back
Top Bottom