Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwani CDM wana dola?Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi.
Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola.
Changamkeni mtumie hii fursa.
Mfumo wa uchaguzi ubadilike kwanza ndio upinzani utafaulu, lakini chaguzi zinasimamiwa na TISS na Polisi kwa kuingiza kura bandia kwa nguvu utake usitake, upinzani hawawezi kuiondoa CCM hata Kama wameshinda. Mfano wa chaguzi zisizo na tija imeonyeshwa leo ambapo CCM wamemchagua Kinana kwa kura 100% wakati Hakuna anayeshindana naye, sijui huo ni uchaguzi wa aina gani!Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi.
Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola.
Changamkeni mtumie hii fursa.