Chadema hii ndio no reform no election?

Chadema hii ndio no reform no election?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi zake
1. Maalim seif- waziri kionngoz8
2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali
3. Mansour - waziri wa ccm na baba yake mwanamapinduzu
4. Juma duni- muungano na waziri Zanzibar .
5. Machano- mkuu wa Polisi Zanzibar enzi zake.
Lkn team ya lissu nyepesi sana dhidi ya ccm
 
Tupe orodha ya watu wazito ndani ya SISIEMU wanaoweza pigania hilo
 
Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi zake
1. Maalim seif- waziri kionngoz8
2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali
3. Mansour - waziri wa ccm na baba yake mwanamapinduzu
4. Juma duni- muungano na waziri Zanzibar .
5. Machano- mkuu wa Polisi Zanzibar enzi zake.
Lkn team ya lissu nyepesi sana dhidi ya ccm
Dada Maria 2 una gubu sana ndiyo huolewi utaushia kuoigwa miti tu basi
 
Ww nae dada wa UWT unawashwa na cdm
 
Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi zake
1. Maalim seif- waziri kionngoz8
2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali
3. Mansour - waziri wa ccm na baba yake mwanamapinduzu
4. Juma duni- muungano na waziri Zanzibar .
5. Machano- mkuu wa Polisi Zanzibar enzi zake.
Lkn team ya lissu nyepesi sana dhidi ya ccm
Hiyo timu Lissu ni kama Futuhi tu. Alishindwa Mbowe ambaye babaake alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa CCM Taifa. Akashindwa Mrema mwaka 1995. Akashindwa Maalim Seif aliyeupenda Urais wa Zanzibar kuliko uhai wake. Alishindwa Lowassa na kauli mbiu yake ya "Toroka Uje". Eti aweze kapuku Lissu aliyeshindwa kuwanunulia hata maji ya kunywa watu waliokuja kumpokea nyumbani kwake Ikungi? Ahahahahaha!!!
 
Siku hizi sikuelewi kabisa bwashee

Au umeamua kupoza machungu ya ndugu zako katika Imani Hamas

Sikuwahi kujua ikiwa hata wewe ni chawa wa CCM

Kumbe we kijana ni wa hovyo namna hii?
 
Mkuu unajina gumu Sana malaria anyway mbona unataja majina ya watu waliofulkuzwa ndani ya chama chao Kwa hoja za ukuda na unafiki Kama maalimu seif .Kama kiongozi anafukuzwq ndani ya chama Kwa ila anawezaje kuongoza no reform no elections Nani atamuamini?
 
  • Thanks
Reactions: Mdf
Sasa mkuu watu wote hao waliotajwa ndo wamepewa mzee wasira adili nao? Unajua ana umri gani yule mzee?
Wasira anaongea Kwa niaba ya chama, ndo wamemtuma aongee hayo anayoongea, siyo utashi wake binafsi
 
Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi zake
1. Maalim seif- waziri kionngoz8
2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali
3. Mansour - waziri wa ccm na baba yake mwanamapinduzu
4. Juma duni- muungano na waziri Zanzibar .
5. Machano- mkuu wa Polisi Zanzibar enzi zake.
Lkn team ya lissu nyepesi sana dhidi ya ccm
Ccm ina akina nani? Zaidi ya dola...
 
Hao wavuta bangi tu, hiyo serikali tupeni muundo wake, PM nani, mawaziri ni kina nani. Hilo ni genge la wahuni linalotumiwa na vibaraka wa nje
 
Back
Top Bottom