Chadema hii ndio no reform no election?

Chadema hii ndio no reform no election?

Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi zake
1. Maalim seif- waziri kionngoz8
2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali
3. Mansour - waziri wa ccm na baba yake mwanamapinduzu
4. Juma duni- muungano na waziri Zanzibar .
5. Machano- mkuu wa Polisi Zanzibar enzi zake.
Lkn team ya lissu nyepesi sana dhidi ya ccm
Mmwshaanza kuweweseka wakati kazi baado kabisa
 
Hiyo timu Lissu ni kama Futuhi tu. Alishindwa Mbowe ambaye babaake alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa CCM Taifa. Akashindwa Mrema mwaka 1995. Akashindwa Maalim Seif aliyeupenda Urais wa Zanzibar kuliko uhai wake. Alishindwa Lowassa na kauli mbiu yake ya "Toroka Uje". Eti aweze kapuku Lissu aliyeshindwa kuwanunulia hata maji ya kunywa watu waliokuja kumpokea nyumbani kwake Ikungi? Ahahahahaha!!!
Umemaliza mchezo sema hao andunje wataendelea kubisha
 
Chadema hii ndio no reform no election?
1. Lissu
2. Heche
3. Amani
4. Lema
5. Mayemba
6. Deogratius wa BAVICHA
Mbona hawa watu wepesi sana ktk kupigania vitu vikubwa kama hivyo.
Tuungalie cuf enzi zake
1. Maalim seif- waziri kionngoz8
2. Abubakar khamis- mwanasheria 2a serekali
3. Mansour - waziri wa ccm na baba yake mwanamapinduzu
4. Juma duni- muungano na waziri Zanzibar .
5. Machano- mkuu wa Polisi Zanzibar enzi zake.
Lkn team ya lissu nyepesi sana dhidi ya ccm

Upeo mdogo cha kuangalia sio watu ni watanzania wanao unga hoja. Kama wewe unaamini tume ni huru ni mawazo yako lakini kwa watanzania wengi wana amini sheria lazima zimadilike kwa nyakati hizi ili chaguzi ziwe huru. Watuma ujumbe sio waunga ujumbe!!!. Ni utoto kufiria kwamba hii hoja ni ya watu watano!. Vijana wa siku hizi vichwa panzi kweli kweli
 
Unafki mbaya huyu dada anaitwa Rose Mayemba kwa kweli Chadema wamepata mtu wa shoka. Ni miingoni mwa wanawake wachache wenye uwezo wa kujenga hoja na tena ukimtizama anaongea kwa hisia na kumaanisha, tone yake imejaa uzalendo. Huyu anaweza kufika mbali sana kwenye career yake.

Chadema ili ifanikiwe inapaswa ipambane na uovu na sio ccm maana ccm kuna watu wazuri na watu wa baya vivyo hivyo chadema kuna wazuri na wabaya. Wakitumia slogans watavuvitia watu wengi ila wakiuendekeza uchama watabaki na wafuasi wao.
 
Back
Top Bottom