Chadema hii ndio no reform no election?

Mmwshaanza kuweweseka wakati kazi baado kabisa
 
Umemaliza mchezo sema hao andunje wataendelea kubisha
 

Upeo mdogo cha kuangalia sio watu ni watanzania wanao unga hoja. Kama wewe unaamini tume ni huru ni mawazo yako lakini kwa watanzania wengi wana amini sheria lazima zimadilike kwa nyakati hizi ili chaguzi ziwe huru. Watuma ujumbe sio waunga ujumbe!!!. Ni utoto kufiria kwamba hii hoja ni ya watu watano!. Vijana wa siku hizi vichwa panzi kweli kweli
 
Unafki mbaya huyu dada anaitwa Rose Mayemba kwa kweli Chadema wamepata mtu wa shoka. Ni miingoni mwa wanawake wachache wenye uwezo wa kujenga hoja na tena ukimtizama anaongea kwa hisia na kumaanisha, tone yake imejaa uzalendo. Huyu anaweza kufika mbali sana kwenye career yake.

Chadema ili ifanikiwe inapaswa ipambane na uovu na sio ccm maana ccm kuna watu wazuri na watu wa baya vivyo hivyo chadema kuna wazuri na wabaya. Wakitumia slogans watavuvitia watu wengi ila wakiuendekeza uchama watabaki na wafuasi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…