CHADEMA, hiki ndio kipindi cha kuandaa makongamano mengi ya Katiba Mpya

Itakuwa ulikuwa hujazaliwa kipindi hicho wachache walihitaji elimu ya katiba kwanza
 
Basi yaishe maana hata nikiongea kwa lugha unayoipenda huta nielewa tusonge mbele maisha yaendelee kapate Chanjo best
 
Chanjo mm bado Sana mpaka itakapofikia hatua ya kulazimishana ndio nitachanja. Naona mwenzangu tayari umechanjwa?
 
Bhebe . Wavuvi wa igombe wana akili. Si kama zako hizo unaongea kama kuku aliekatwa kichwa. Sasa hivi mnahangaika na matozo kila sekta si kwa sababu ya hawa wahuni ?!.
Hata mi naongea kwa niaba ya selikari. Hata mi siyo selikari ila nimeiwakilisha tu
 
Kwa akili ndogo walizonazo hakuna kitu watafanya zaidi ya kelele tu, Sasa hivi tupo kidijital na muda wa kupoteza kukusanyika watu hawana sanasana wachache wanaokusanyika ndo hao tunasikia kelele za kushikwa, kama wangekuwa na Nia ya kudai katiba mpya wanazo media zao kwanini wasingeandika huko umuhimu wa katiba mpya na Kila siku wakadodosha clip ya umuhimu wa katiba mpya bila kukusanyika na hizo clip watu watazungushiana wenyewe Sasa mashindano yao na CCM ya kufanya mikusanyiko Ili tusikie wamekamatwa basi kelele za kukamatwa zitakuwa juu na za katiba mpya zitakuwa hazipo.
 
Kwani kukusanyika Ni kosa?
 
Makongamano si yapo Twitter space ?
Nasikitika kuona wafuasi wa watawala akili ndogo mlizonazo mmezikalia.

Kwani katiba mpya iliyo fair kwa wote inawaathiri nini ?!. Pamoja na kukaa madarakani miaka 60 bado mnaogopa !!
 
Si ndio tunaipiganIa katiba mpya spaces karibu mida ya jioni jioni unapata sharubati na kashata huku tunaipigania katiba kwa nguvu yote nyuma ya keyboard😊
IMG_20210812_225850.jpg
 
Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi.

Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili mpunguze Kasi, Kesi ya mbowe itapigwa danadana Sana mpaka pale ninyi mtakapo ishurutisha serikali kwa mbinu zozote zile.

Mapambano yenu kwa Sasa yalenge kuandaa makongamano mengi ya katiba mpya, msipofanya hivyo maana yake mtakuwa mmenasa kwenye mtego wa maadui.

Kesi ya mbowe ni ukurupukaji mkubwa wa serikali na vyombo vyake, na imewakwama kabisa haitafuniki,haitemeki, Wala haimezeki, kuendeleza makongamano ndio njia pekee itakayoongeza joto kali zaidi kwa serikali.

Makamanda huu sio mda wa kurudi nyuma Kama kuumizwa mmeumizwa Sana, kudhulumiwa mmedhulumiwa sana, Kama kuteswa mmeteswa Sana mkilegeza kidogo TU chadema itakuwa Kama nccr, Cuf au TLP siku chache zijazo.
Wanachama, wafuasi, na wananchi kwa kiasi tuameanza kuchoka matamko na malalamiko yenu yaleyale ya siku zote, tunatamani kuona mbinu mpya na hatua zaidi ya makelele yasiyo na matokeo chanya

Na Pia kuendelea kutumia demokrasia ya kistaarabu kushindana na ccm heti kwamba kesho wakupeni nchi ni kusubiri dodo chini mkorosho, ccm wamevuka kiwango Cha uovu Sasa ni magaidi na mashetani wekundu kabisa ambao wako tayari kwa chochote mnachelewa nyinyi TU kuikomboa hii nchi.

Wananchi tuko tayari na dunia iko tayari mnasubiriwa nyinyi muunganishe nyaya ukombozi upatikane

😚😂😂( Ni jamaa kutoka ighanuda) 😂😂😂😂
Leo msajili wa vyama vya siasa jaji mtungu ameamua kuisaidia ccm kinagaubaga kwa kuweka marufuku ya makongamano ya chadema. CDM Msikubaliane na upuuzi huu. Japo kwa jicho la tatu Kuna kisababu flani Hivi Cha ajabu kinatafutwa kukiadhibu ama kukifuta chadema, Sasa CDM tambueni hamna Cha kupoteza komaeni na waacheni wafanye wanavyoweza.
 
Mako
Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi.

Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili mpunguze Kasi, Kesi ya mbowe itapigwa danadana Sana mpaka pale ninyi mtakapo ishurutisha serikali kwa mbinu zozote zile.

Mapambano yenu kwa Sasa yalenge kuandaa makongamano mengi ya katiba mpya, msipofanya hivyo maana yake mtakuwa mmenasa kwenye mtego wa maadui.

Kesi ya mbowe ni ukurupukaji mkubwa wa serikali na vyombo vyake, na imewakwama kabisa haitafuniki,haitemeki, Wala haimezeki, kuendeleza makongamano ndio njia pekee itakayoongeza joto kali zaidi kwa serikali.

Makamanda huu sio mda wa kurudi nyuma Kama kuumizwa mmeumizwa Sana, kudhulumiwa mmedhulumiwa sana, Kama kuteswa mmeteswa Sana mkilegeza kidogo TU chadema itakuwa Kama nccr, Cuf au TLP siku chache zijazo.
Wanachama, wafuasi, na wananchi kwa kiasi tuameanza kuchoka matamko na malalamiko yenu yaleyale ya siku zote, tunatamani kuona mbinu mpya na hatua zaidi ya makelele yasiyo na matokeo chanya

Na Pia kuendelea kutumia demokrasia ya kistaarabu kushindana na ccm heti kwamba kesho wakupeni nchi ni kusubiri dodo chini mkorosho, ccm wamevuka kiwango Cha uovu Sasa ni magaidi na mashetani wekundu kabisa ambao wako tayari kwa chochote mnachelewa nyinyi TU kuikomboa hii nchi.

Wananchi tuko tayari na dunia iko tayari mnasubiriwa nyinyi muunganishe nyaya ukombozi upatikane

😚😂😂( Ni jamaa kutoka ighanuda) 😂😂😂😂
Makongamano yaendelee wito wa msajili hauna nguvu kisheria anavunja katiba
 
Back
Top Bottom