Kwahiyo kinachokuuma ni nini?Kwa sasa wanajuta sana, alikuwa anawakata bila kujua kama huko mbeleni kuna kazi kubwa inayohitaji pesa. Sasa wanafikilia kuwachangisha raia wapate pesa za Coverage kwenye media na magazeti
Nakumbuka! Pia nakumbuka kulikuwa na mkataba kwamba Slaa atalipwa sawa na mtu aliyeko kwenye ubunge. Miaka yote wanajua hawawezi kushinda na ndo maana Mbowe unayesema hana tamaa, hiyo nafasi hana tamaa nayo. Alishijaribu akakosa vyote.CDM siyo mara ya kwanza kupitisha mtu asiye mwenyekiti kugombea Mbowe hana tamaa ya hivo kumbuka Dr Slaa
HAMNA NAMNA, sasa ni mwendo wa kuwatoa mapepo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaaahh nitawatoa sana mapepo hawa ndugu zetu
Wewe ni mpuuzi na hujui propaganda zaidi ya uzushi na ukanjanja tuu umekujaa.Kwa sasa wanajuta sana, alikuwa anawakata bila kujua kama huko mbeleni kuna kazi kubwa inayohitaji pesa. Sasa wanafikilia kuwachangisha raia wapate pesa za Coverage kwenye media na magazeti
Wewe na mleta uzi itoshe kuwapa POLE!! Poleni sana. Ni Tundu tu ameweza kuwatetemesha. Matumbo joto! Poleni. Nondo anazoshusha Lissu si za Kawaida. Na bado kampeni rasmi haijaanza! Kazeni roho.Walijua tu kwamba hakuna haja ya kuwa na mgombea wa maana. Wanajua hakuna nafasi ya kushinda, ikiwepo nafasi hiyo unadhani Mbowe angemwachia Lissu? Si uliona nafasi ya M/kiti?
Kumkata Lissu huko NEC ni kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki kuangalia kama kuna asali ndani yake?Ukweli ni kuwa kwa sasa NEC (chini ya uratibu wa CCM) wanawaza utaratibu wa kuwaengua baadhi ya wagombea Urais na Ubunge...
Rejea maneno ya Nape... Kwamba ukiona unabweka sana lakini hujibiwi ujue yanayopangwa yanafikirisha... Ni huyo huyo Nape ndo aliropoka kuhusu goli la mkono... Ni huyo huyo aliropoka kuhusu kukata kichwa cha kobe...
Nipo hapa mtanambia...
Upinzani wa dhati ungeunganisha juhudi wakawa na wagombea wachache wenye nguvu kwenye Ubunge na mmoja wa kuaminika kwenye Urais... Ambayo ndo ilikuwa hofu ya CCM + NEC...
Anyway; wameaamua kufanya hesabu za kurahisisha!!
Hizo sifa anayeongoza hii awamu anazo?Urais ni Cheo cha juu sana katika Nchi. Kwa hiyo, hata anayewani cheo hicho anapaswa kuwa:-
-Mstahimilivu
-Mwenye hekima
-Anayehubiri AMANI zaidi kuliko Vurugu na chuki
- Si mropokaji
-Ni mtu asiyetiliwa shaka hata kidogo kuhusu UZALENDO wake kwa Nchi yake.
-Mwenye subira na mwenye Adabu, hasa katika Kauli zake.
Wapiga kura ni tume ya uchaguzi, ila kwa sasa tunasema basiii, kila mtu atapiga kura na kuhesabiwa kwa haki, like it or hate it.Mbenge, hao unao waona ni mashabiki tuu, hakuna mpiga kura. Wapiga kura wapo wametulia nyumbani wanaendelea kulinda visu vyao visiibiwe, wazee wameviweka kibindoni wanawaangalia tuu. tukutane 28 oktoba hapo ndipo mtajuta na kusaga meno
Hawako serious wanajua hawashindi ndo maana eti mgombea mwenza ni Salum Mwalimu! Certificate in journalism awe makamu wa rais.Walijua tu kwamba hakuna haja ya kuwa na mgombea wa maana. Wanajua hakuna nafasi ya kushinda, ikiwepo nafasi hiyo unadhani Mbowe angemwachia Lissu? Si uliona nafasi ya M/kiti?
Uinua ndo Nini?Nashangaa Kila kukicha Lisu Lisu Lisu Kati mnajua kabisa Hana madhara, kwanini msimseme Membe ambaye ndo mpinzan wa Meko
Lisuphobia
* Haki uinua Taifa*
Kwa hizo sifa tajwa hapo juu, Magufuli hastahili kua Rais wetu.Urais ni Cheo cha juu sana katika Nchi. Kwa hiyo, hata anayewani cheo hicho anapaswa kuwa:-
-Mstahimilivu
-Mwenye hekima
-Anayehubiri AMANI zaidi kuliko Vurugu na chuki
- Si mropokaji
-Ni mtu asiyetiliwa shaka hata kidogo kuhusu UZALENDO wake kwa Nchi yake.
-Mwenye subira na mwenye Adabu, hasa katika Kauli zake.