Uchaguzi 2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

Uchaguzi 2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

Kwa sasa wanajuta sana, alikuwa anawakata bila kujua kama huko mbeleni kuna kazi kubwa inayohitaji pesa. Sasa wanafikilia kuwachangisha raia wapate pesa za Coverage kwenye media na magazeti
Kwahiyo kinachokuuma ni nini?

Kila nyuzi mtaziandika humu kumpinga Lissu. Lakini ni yeye.
 
CDM siyo mara ya kwanza kupitisha mtu asiye mwenyekiti kugombea Mbowe hana tamaa ya hivo kumbuka Dr Slaa
Nakumbuka! Pia nakumbuka kulikuwa na mkataba kwamba Slaa atalipwa sawa na mtu aliyeko kwenye ubunge. Miaka yote wanajua hawawezi kushinda na ndo maana Mbowe unayesema hana tamaa, hiyo nafasi hana tamaa nayo. Alishijaribu akakosa vyote.
 
.
giphy.gif
Yaaahh nitawatoa sana mapepo hawa ndugu zetu
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Movie hii sterring anadead mapemaaaa maana naona mihemko imekua mingi mnoo...!
 
Urais ni Cheo cha juu sana katika Nchi. Kwa hiyo, hata anayewani cheo hicho anapaswa kuwa:-
-Mstahimilivu
-Mwenye hekima
-Anayehubiri AMANI zaidi kuliko Vurugu na chuki
- Si mropokaji
-Ni mtu asiyetiliwa shaka hata kidogo kuhusu UZALENDO wake kwa Nchi yake.
-Mwenye subira na mwenye Adabu, hasa katika Kauli zake.
 
Huyu mzee wa MIGA naye sijui ana tatizo gani yaani anakomaa hadi leo hii kuongelea habari za Tanzania kuwa watu wanakufa kwa wingi na corona! viongozi wenzake wa Chadema nao wako kimya wanamuache tu ajiropokee wakati wanajua kuongea hivyo hakuongezi kura bali inapunguza kura.
 
Kwa sasa wanajuta sana, alikuwa anawakata bila kujua kama huko mbeleni kuna kazi kubwa inayohitaji pesa. Sasa wanafikilia kuwachangisha raia wapate pesa za Coverage kwenye media na magazeti
Wewe ni mpuuzi na hujui propaganda zaidi ya uzushi na ukanjanja tuu umekujaa.

Nimejaribu kufuatilia mada zako na nimegundua kuwa wewe ni MTU mwenye uwezo mdogo wa akili lakini unajitwisha mambo makubwa kwenye kusanyiko la wenye uwezo wa akili.

Unakosea sana, nenda FB kajumuike na wenzako
 
Walijua tu kwamba hakuna haja ya kuwa na mgombea wa maana. Wanajua hakuna nafasi ya kushinda, ikiwepo nafasi hiyo unadhani Mbowe angemwachia Lissu? Si uliona nafasi ya M/kiti?
Wewe na mleta uzi itoshe kuwapa POLE!! Poleni sana. Ni Tundu tu ameweza kuwatetemesha. Matumbo joto! Poleni. Nondo anazoshusha Lissu si za Kawaida. Na bado kampeni rasmi haijaanza! Kazeni roho.
 
Ukweli ni kuwa kwa sasa NEC (chini ya uratibu wa CCM) wanawaza utaratibu wa kuwaengua baadhi ya wagombea Urais na Ubunge...
Rejea maneno ya Nape... Kwamba ukiona unabweka sana lakini hujibiwi ujue yanayopangwa yanafikirisha... Ni huyo huyo Nape ndo aliropoka kuhusu goli la mkono... Ni huyo huyo aliropoka kuhusu kukata kichwa cha kobe...
Nipo hapa mtanambia...
Upinzani wa dhati ungeunganisha juhudi wakawa na wagombea wachache wenye nguvu kwenye Ubunge na mmoja wa kuaminika kwenye Urais... Ambayo ndo ilikuwa hofu ya CCM + NEC...
Anyway; wameaamua kufanya hesabu za kurahisisha!!
Kumkata Lissu huko NEC ni kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki kuangalia kama kuna asali ndani yake?
 
Mwanzo walisema haponi kapona,

Wakasema harudi karudi,

Wakasema akitua atakamatwa hakukamatwa.

Wakasema hapiti kwenye mchujo kapita,

Wakasema Afya mbovu hawezi kuzunguka kusaka wadhamini, huyo anachanja mbuga,

Wakasema hatopata watu hilo nyumi la watu,

Sasa wanasema Tume itamkata......

Tusubiri.....

Twende na lisu
 
Urais ni Cheo cha juu sana katika Nchi. Kwa hiyo, hata anayewani cheo hicho anapaswa kuwa:-
-Mstahimilivu
-Mwenye hekima
-Anayehubiri AMANI zaidi kuliko Vurugu na chuki
- Si mropokaji
-Ni mtu asiyetiliwa shaka hata kidogo kuhusu UZALENDO wake kwa Nchi yake.
-Mwenye subira na mwenye Adabu, hasa katika Kauli zake.
Hizo sifa anayeongoza hii awamu anazo?
 
Mbenge, hao unao waona ni mashabiki tuu, hakuna mpiga kura. Wapiga kura wapo wametulia nyumbani wanaendelea kulinda visu vyao visiibiwe, wazee wameviweka kibindoni wanawaangalia tuu. tukutane 28 oktoba hapo ndipo mtajuta na kusaga meno
Wapiga kura ni tume ya uchaguzi, ila kwa sasa tunasema basiii, kila mtu atapiga kura na kuhesabiwa kwa haki, like it or hate it.
 
Walijua tu kwamba hakuna haja ya kuwa na mgombea wa maana. Wanajua hakuna nafasi ya kushinda, ikiwepo nafasi hiyo unadhani Mbowe angemwachia Lissu? Si uliona nafasi ya M/kiti?
Hawako serious wanajua hawashindi ndo maana eti mgombea mwenza ni Salum Mwalimu! Certificate in journalism awe makamu wa rais.
 
Urais ni Cheo cha juu sana katika Nchi. Kwa hiyo, hata anayewani cheo hicho anapaswa kuwa:-
-Mstahimilivu
-Mwenye hekima
-Anayehubiri AMANI zaidi kuliko Vurugu na chuki
- Si mropokaji
-Ni mtu asiyetiliwa shaka hata kidogo kuhusu UZALENDO wake kwa Nchi yake.
-Mwenye subira na mwenye Adabu, hasa katika Kauli zake.
Kwa hizo sifa tajwa hapo juu, Magufuli hastahili kua Rais wetu.
 
Back
Top Bottom