CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

Mkuu ni utamaduni viongozi wastaafu wenye uwezo kupewa majukumu ya kimataifa baada ya kustaafu
Nyerere alifanya, Mandela alifanya, Mkapa alifanya, Obasanjo alifanya na kimsingi mwaka juzi kwenye mkutano wa IGRAF Rwanda aliaacha uenyekitiakapewa Kikwete.
Sasa linganisha umri wa Obasanjo na Kikwete.

Obasanjo and Kikwete are puppets of U.S.A and Europe imperialist!
The same to Rostam who serves as CIA agent in East and Central Africa!
Whether Samia likes or not she must be submissive to these men for her survival!
 
Anatofauti gani na Mbowe. Kumbuka kabla ya maandamano anayoyatumia sasa kutdhalilisha watu alijipeleka kwa balozi wa USA na UK na wanasaidwa kilakitu na KAS NGO ya kijerumani
 
Hakuweza kufanya la maana nchini zaidi ya UFISADI hatafanya lolote jipya na la maana kimataifa.

Hizo policy za elimu kimataifa ni unaa tu, hapa aliikuta elimu mbovu na hakuna policy yoyote aliyoleta ikasaidia taifa.
Mwizi tu wa mali za umma
Kwa utawala wake elimu iliporomoka sana,si ndiyo akaamua kushusha alama za ufaulu ili watoto waonekane wamefaulu!
 
Anatofauti gani na Mbowe. Kumbuka kabla ya maandamano anayoyatumia sasa kutdhalilisha watu alijipeleka kwa balozi wa USA na UK na wanasaidwa kilakitu na KAS NGO ya kijerumani
Kisiasa CCM na CHADEMA lao ni moja,hizo ni porojo tu za kutafuta madaraka.
 
Mzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.

Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.

Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
Your point? Of someone mind talking intelligent like brother,listen to me, if intelligent is healthy and you just stay to talking like someone madness how do you appreciate good skills of our beloved leadr mr jk. Am saying na bado kazi indeleee
 
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.

Jibuni hoja ya Mbowe .... Hoja yake ni matumizi mabaya ya pesa za serikali.

Hata safari ya Namibia Maza alikwenda kuzika pamoja na Kikwete na Kinana. Sasa ATC watupe invoice zinazoonyesha kuwa CCM nao walilipia ghalama za kukodi Air Bus.
 
Hivi hizo nafasi aliomba? Na kama aliomba siinamaana ameshinda watu wengine?
Na kama ana teuliwa je wateuaji hawajui sifa zake kama watu wanavyo sema hapa?
Mm naona kama ni chuki za wanadamu
 
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.

Kwahiyo bado anaendelea kuongoza ila kwa siti ya nyuma? Maana Mbowe ni kama anatuhabarisha hivyo
 
His trips are not paid for by the government for God Sake. Siyo kila mtu anayepanda ndege ya rais na kusafiri na rais hasa safari za nje analipiwa na serikali
Sawa halipiwi na serikali yeye huwa anajua Rais anapoelekea
 
Kosa analofanya Mbowe ni kudhani Samia is a weak character na leader-sijui kwa vile ile kesi yake ya ugaidi iliwekewa cold room naye akatolewa gerezani kwa mda- maana wakimtaka atarudi huko sasa hivi.

Crap from a mind crippled.
 
Mzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.

Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.

Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
Ni akili za kimama kukerwa na mtu kuonekana kwenye TV kila siku
 
Jibuni hoja ya Mbowe .... Hoja yake ni matumizi mabaya ya pesa za serikali.

Hata safari ya Namibia Maza alikwenda kuzika pamoja na Kikwete na Kinana. Sasa ATC watupe invoice zinazoonyesha kuwa CCM nao walilipia ghalama za kukodi Air Bus.
Unajua Marehemu rais wa Namibia alikaa Tanzania na chama chake ni chama rafiki wa CCM? Unganisha nukta
 
He is babysitting someone, He and Co., don't want to miss a step.

Jealous, kikwete amekuwa na harakati za kulitumikia bara la Afrika na Dunia tokea alipoachia hatamu Kwa magufuli na Wala hakuanza kipindi hiki Cha Samia,na Magufuli amekuwa anamtuma kikwete mara nyingi tuh kumwakilisha nje ya nchi,acheni wivu na uchawi
 
Unajua Marehemu rais wa Namibia alikaa Tanzania na chama chake ni chama rafiki wa CCM? Unganisha nukta

Hiyo haijustfy Kinana kusafiri kwa ndege ya serikali kwenda kumzika. Uwakilishi wa Rais unatosha kuiwakisha Tanzania kwenye mazishi.

Na kwa taarifa yako tu Rais Hage Gaigob hakuwahi kuishi Tanzania.
 
Back
Top Bottom