Obasanjo and Kikwete are puppets of U.S.A and Europe imperialist!Mkuu ni utamaduni viongozi wastaafu wenye uwezo kupewa majukumu ya kimataifa baada ya kustaafu
Nyerere alifanya, Mandela alifanya, Mkapa alifanya, Obasanjo alifanya na kimsingi mwaka juzi kwenye mkutano wa IGRAF Rwanda aliaacha uenyekitiakapewa Kikwete.
Sasa linganisha umri wa Obasanjo na Kikwete.
Anatofauti gani na Mbowe. Kumbuka kabla ya maandamano anayoyatumia sasa kutdhalilisha watu alijipeleka kwa balozi wa USA na UK na wanasaidwa kilakitu na KAS NGO ya kijerumaniObasanjo and Kikwete are puppets of U.S.A and Europe imperialist!
The same to Rostam who serves as CIA agent in East and Central Africa!
Whether Samia likes or not she must be submissive to these men for her survival!
Kwa utawala wake elimu iliporomoka sana,si ndiyo akaamua kushusha alama za ufaulu ili watoto waonekane wamefaulu!Hakuweza kufanya la maana nchini zaidi ya UFISADI hatafanya lolote jipya na la maana kimataifa.
Hizo policy za elimu kimataifa ni unaa tu, hapa aliikuta elimu mbovu na hakuna policy yoyote aliyoleta ikasaidia taifa.
Mwizi tu wa mali za umma
Tofauti ipo kwa sababu Papa hajaamua Mbowe apewe nchiAnatofauti gani na Mbowe. Kumbuka kabla ya maandamano anayoyatumia sasa kutdhalilisha watu alijipeleka kwa balozi wa USA na UK na wanasaidwa kilakitu na KAS NGO ya kijerumani
Kisiasa CCM na CHADEMA lao ni moja,hizo ni porojo tu za kutafuta madaraka.Anatofauti gani na Mbowe. Kumbuka kabla ya maandamano anayoyatumia sasa kutdhalilisha watu alijipeleka kwa balozi wa USA na UK na wanasaidwa kilakitu na KAS NGO ya kijerumani
Your point? Of someone mind talking intelligent like brother,listen to me, if intelligent is healthy and you just stay to talking like someone madness how do you appreciate good skills of our beloved leadr mr jk. Am saying na bado kazi indeleeeMzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.
Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.
Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete
After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.
Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.
served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.
Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.
On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.

Kuna mirais inapaswa kuchomwa moto kabisaKwa utawala wake elimu iliporomoka sana,si ndiyo akaamua kushusha alama za ufaulu ili watoto waonekane wamefaulu!
Sawa halipiwi na serikali yeye huwa anajua Rais anapoelekeaHis trips are not paid for by the government for God Sake. Siyo kila mtu anayepanda ndege ya rais na kusafiri na rais hasa safari za nje analipiwa na serikali
Kosa analofanya Mbowe ni kudhani Samia is a weak character na leader-sijui kwa vile ile kesi yake ya ugaidi iliwekewa cold room naye akatolewa gerezani kwa mda- maana wakimtaka atarudi huko sasa hivi.
Ni akili za kimama kukerwa na mtu kuonekana kwenye TV kila sikuMzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.
Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.
Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
Crippled mindCrap from a mind crippled.
Unajua Marehemu rais wa Namibia alikaa Tanzania na chama chake ni chama rafiki wa CCM? Unganisha nuktaJibuni hoja ya Mbowe .... Hoja yake ni matumizi mabaya ya pesa za serikali.
Hata safari ya Namibia Maza alikwenda kuzika pamoja na Kikwete na Kinana. Sasa ATC watupe invoice zinazoonyesha kuwa CCM nao walilipia ghalama za kukodi Air Bus.
He is babysitting someone, He and Co., don't want to miss a step.
Unajua Marehemu rais wa Namibia alikaa Tanzania na chama chake ni chama rafiki wa CCM? Unganisha nukta