CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

Kweli CCM hatuna huruma pamoja na kuwa kuna Wabunge 2 wa upinzani wakuchaguliwa ndani Bunge lakini bado tunakomaa kumpata Mbunge 1 khaaa.
 
Zitto ni kigeugeu sn hana akili, CCM ni ileile, tume ni tawi la CCM, polisi ni CCM, DC, DAS, DED, DSO pamoja na wakuu wa idara ni CCM alafu bado unataka ushindi, yaani nyumba 1 amezungukwa na Simba 13 alafu anapambana nao kweli atashinda?
@Zitto
 
CCM Kwenye uchaguzi wanakuwa wanyama kabisa,hawa jamaa hawana urafiki Kwenye chakula
Naam !!!
tapatalk_1522873691287.jpg
 
Hakuna Demokrasia ndio Maana Nchi nyingi za Kiafrika huishia kupigana mpaka kumalizana kwa jambo hilo
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.

Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi

Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye tamthilia ya Halima Mdee.

Simba 5 Mufulira Wonders 0

Kazi Iendelee!
Chadema waliielewa vizuri ile kauli ya "mimi na mwendazake ni kitu kimoja" Zito hakuielewa. Bila kufanya hivyo CCM ni chali alfajiri tu!!!!
 
Acha Zitto apate alichostahili. Kama alidhani CCM wana hata chembe ya utu na huruma linapokuja suala la kupora uchaguzi, he must now think twice
 
Acha Zitto apate alichostahili. Kama alidhani CCM wana hata chembe ya utu na huruma linapokuja suala la kupora uchaguzi, he must now think twice
Zitto ni kijana mbinafsi sana, umimi utammaliza, kwanini asiungane na wapinzani wenzake wenye mwelekeo?
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.

Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi

Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye tamthilia ya Halima Mdee.

Simba 5 Mufulira Wonders 0

Kazi Iendelee!
Mbona humjatag rafiki yako Mmawia?
 
Back
Top Bottom