CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

Zitto ni kijana mbinafsi sana, umimi utammaliza, kwanini asiungane na wapinzani wenzake wenye mwelekeo?
Labda alidhani kutakuwa na huruma kutoka kwa Mama. CCM walishazoea kunyonga. Old (bad) habits die hard...
 
Chadema wana Akili nyingi hawawezi kushiriki Chaguzi za Kihuni zinazofanywa na Chama chenye Miaka 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…