CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:

Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana.

Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara.
Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo.
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
 
Mleteni wa kububujikwa na machozi, akibubujika machozi akamalza labda watamuelewa!
SIASA ZA KANDA YA ZIWA NI NGUMU HATA KWA VYAMA VINGNE SIYO CCM TU,
hii ni kwa sababu kanda ya ziwa wana tabia ya kumchora mtu na kelele zake, ukiwapa tu mgongo {ukiondoka tu} wanachukua maamzi yao.

kaa mkijua siasa za kanda ya ziwa zmejaa unafki. KANDA YA ZIWA NDIYO YAO NI HAPANA NA HAPANA YAO NI NDIYO.
 
Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:

Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana.

Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara.
Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo.
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
View attachment 3236878
Endeleeni kulishana matango pori muda wa kura bado!
 
Yaani iko hivi!

CCM, haina kanda ambako inapendwa, na wao wanalijua hili, kupita kwao ni wao kuwa washirika wa Ibilisi, na kazi za ibilisi zinajulikana bayana

Kuiba, kuuwa, unyang'anyi na dhuluma, hayo ni baadhi tu ambayo shetani huwatumia wafuasi wake
 
Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:

Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana.

Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara.
Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo.
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
View attachment 3236878
Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano wa kuigwa kabisa wa namna CCM inavyopaswa kutendewa nchi hii, asanteni sana!
 
Wengi wanaamini hiyo kazi ilifanywa na Magufuli, mama kamilizia tu.
Kweli daraja hilo ni kazi ya JPM, Samia, amemalizia tuu, lakini kwa sasa credits ni kwa Samia. Narudia tena lile swali, kuna mtu atavuka daraja hilo bila kusema asante JPM, asante mama?. Kuna mtu atavuka hapo na kupeleka kura yake sijui wapi?.
P
 
Kanda ya Ziwa inabebwa na Mwanza, kuna mtu atavuka daraja la Busisi halafu akapigie kura sijui nani?.
P
Hapo hapo ukumbuke huku wengi wanaamini muasisi wa ujenzi wa hilo daraja alifanyiziwa na wakijani wenzake hivyo unapolitaja hilo daraja kuna kitendawili ndani yake.
 
Back
Top Bottom