CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

Kweli daraja hilo ni kazi ya JPM, Samia, amemalizia tuu, lakini kwa sasa credits ni kwa Samia. Narudia tena lile swali, kuna mtu atavuka daraja hilo bila kusema asante JPM, asante mama?. Kuna mtu atavuka hapo na kupeleka kura yake sijui wapi?.
P
Kanda ya Ziwa hawakubali Mama , hata hapo Busisi kwa mama ntilie wauza ugali na dagaa , wewe ni mwandishi nenda kawaulize tena wanajua kuwa JPM alii na waliopo Sasa , pia sisi Kanda ya Ziwa sio jadi kutawaliwa na Mwanamke
 
Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:

Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana.


Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara.
Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo.
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
View attachment 3236878
Washindwe wenyeweeee
 
mfume dume ndio unaoongoza huko hiyo kanda, na juzi nimesikia Heche anawataja abharisi, hawa ni vijana ambao hawajaenda jando. Mama atakuwa na wakati mgumu sana hiyo kanda kwa kweli. Abhasaghane (wasichana wasio na jando) na abharisi hawatanghati ( Kuongoza) ekyaro ( Jamii). Ajiandae tu kuwakabiri waongoza ekyaro.
 
Back
Top Bottom