Kanda ya Ziwa inabebwa na Mwanza, kuna mtu atavuka daraja la Busisi halafu akapigie kura sijui nani?.Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
Hakuna kiongozi wa ccm aliyetumia hela ya Mama yake kujenga daraja la Busisi, ni hela za ummaKanda ya Ziwa inabebwa na Mwanza, kuna mtu atavuka daraja la Busisi halafu akapigie kura sijui nani?.
P
Taarifa zote tunazoHuku Kanda ya Ziwa huyo maza hatakiwi kabisa na wapiga kura
Wengi wanaamini hiyo kazi ilifanywa na Magufuli, mama kamilizia tu.Kanda ya Ziwa inabebwa na Mwanza, kuna mtu atavuka daraja la Busisi halafu akapigie kura sijui nani?.
P
Endeleeni kulishana matango pori muda wa kura bado!Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:
Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana.
Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara.
Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo.
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
View attachment 3236878
Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano wa kuigwa kabisa wa namna CCM inavyopaswa kutendewa nchi hii, asanteni sana!Wananchi wameishaikataa CCM na Rais, ushahidi kidogo Tu WA wazi huu hapa:
Hakika Viongozi wa CCM Mkoa wa Mara hususani Tarime wanapitia wakati mgumu sana.
Huyu anaitwa Patrick Chandi ni Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Mkoa wa Mara.
Hapa yupo kwenye Mkutano wa hadhara Nyamongo.
Wananchi hawamtaki, hawataki CCM kabisa.
Wananchi wanazomea.
Source: X
View attachment 3236878
Msitegemee utaratibu wenu wa kuengua wagombea au kuiba kura! Hiyo haipo kwenye uchaguzi ujao.Endeleeni kulishana matango pori muda wa kura bado!
Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mlifanyaje? Au na kwenyewe bado mnatishia?Msitegemee utaratibu wenu wa kuengua wagombea au kuiba kura! Hiyo haipo kwenye uchaguzi ujao.
Kule Kanda ya Ziwa ikitokea Mtu ashupalie suala la kifo cha utata cha JPM..CCM hawana chao..Wengi wanaamini hiyo kazi ilifanywa na Magufuli, mama kamilizia tu.
Kweli daraja hilo ni kazi ya JPM, Samia, amemalizia tuu, lakini kwa sasa credits ni kwa Samia. Narudia tena lile swali, kuna mtu atavuka daraja hilo bila kusema asante JPM, asante mama?. Kuna mtu atavuka hapo na kupeleka kura yake sijui wapi?.Wengi wanaamini hiyo kazi ilifanywa na Magufuli, mama kamilizia tu.
CCM ina mbinu nyingi CHADEMA itafute watu makini kukabiliana na hizi mbinu.Msitegemee utaratibu wenu wa kuengua wagombea au kuiba kura! Hiyo haipo kwenye uchaguzi ujao.
Hapo hapo ukumbuke huku wengi wanaamini muasisi wa ujenzi wa hilo daraja alifanyiziwa na wakijani wenzake hivyo unapolitaja hilo daraja kuna kitendawili ndani yake.Kanda ya Ziwa inabebwa na Mwanza, kuna mtu atavuka daraja la Busisi halafu akapigie kura sijui nani?.
P
Mara ya mwisho kua Mwanza ni Lini au kua mikoa ya kanda ya Ziwa ni Lini mwana Ilboru mwenzangu?Kanda ya Ziwa inabebwa na Mwanza, kuna mtu atavuka daraja la Busisi halafu akapigie kura sijui nani?.
P