CHADEMA Huku Kanda ya Ziwa Ushindi Kwenu Upo Wazi!

Kweli daraja hilo ni kazi ya JPM, Samia, amemalizia tuu, lakini kwa sasa credits ni kwa Samia. Narudia tena lile swali, kuna mtu atavuka daraja hilo bila kusema asante JPM, asante mama?. Kuna mtu atavuka hapo na kupeleka kura yake sijui wapi?.
P
Kanda ya Ziwa hawakubali Mama , hata hapo Busisi kwa mama ntilie wauza ugali na dagaa , wewe ni mwandishi nenda kawaulize tena wanajua kuwa JPM alii na waliopo Sasa , pia sisi Kanda ya Ziwa sio jadi kutawaliwa na Mwanamke
 
Washindwe wenyeweeee
 
mfume dume ndio unaoongoza huko hiyo kanda, na juzi nimesikia Heche anawataja abharisi, hawa ni vijana ambao hawajaenda jando. Mama atakuwa na wakati mgumu sana hiyo kanda kwa kweli. Abhasaghane (wasichana wasio na jando) na abharisi hawatanghati ( Kuongoza) ekyaro ( Jamii). Ajiandae tu kuwakabiri waongoza ekyaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…