Ni hapo sasa, nyumbu anapomtukana kamanda!Ya Chadema yanakuhusu Nini mbwa koko la Lumumba
Unawapangia? anyway, ni ushauri na mawazo yako.Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA.
Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo huu zaidi ya hasara zaidi na risks kwenye chama.
Kama mlikuwa mnauhitaji sana wa nafasi hiyo mmengukuwa na wenyeviti wa mikoa halafu uenyekiti wa kanda unazunguka katika mikoa husika kwa kipindi labda cha miaka miwili miwili.
Unaficha kitu gani na msigwa kasema wazi hamuamini mrema kapewa kreti ina za chimpumu ,pambalu kakimbia uchaguzi!Kwanza hiyo vita unayoisema haipo, ni propaganda tu.
Lingine ni mfumo wa Kanda, huu mfumo ndio uhai wa Chama wa kumonitor mwenendo wa viongozi wa Mikoa na Wilaya, ni mfumo bomba sana! unawaacha wanaojuana kuangaliana, kukosoana na kulindana wenyewe
ππππNi hapo sasa, nyumbu anapomtukana kamanda!
Ngoja niagize popcorn na kisindikizio tuone muvi hii inapoishia!
Msimamizi wa Uchaguzi kaleweshwa Chimpumu akidhani ni Mbege πUnaficha kitu gani na msigwa kasema wazi hamuamini mrema kapewa kreti ina za chimpumu ,pambalu kakimbia uchaguzi!
Utawagharimu.Kwanza hiyo vita unayoisema haipo, ni propaganda tu.
Lingine ni mfumo wa Kanda, huu mfumo ndio uhai wa Chama wa kumonitor mwenendo wa viongozi wa Mikoa na Wilaya, ni mfumo bomba sana! unawaacha wanaojuana kuangaliana, kukosoana na kulindana wenyewe
Siwapangii, nawashauri tu.Unawapangia? anyway, ni ushauri na mawazo yako.
Kwani uenyekiti wa mkoa wa CCM hauna ushindani?
Sema akina Msigwa wamekuwa rivals kitu ambacho sijakipenda. Wanapanda mbegu mbaya ya ka uhasama kataenea pote!
Labda kama una nia ya "kukilinda" hicho chama. Mimi kama mwananchi sioni tatizo. It is a public institution. Naamini CHADEMA msingi wake ni nguvu ya umma ambayo inatokana na imani kubwa waliyoijenga kwa watanzania wengi. Tofauti na mahasimu wao wakuu CCM ambacho ni chama dola; ukiiondoa dola toka ndani ya chama, kinaanguka kwa kishindo kama puto lililotobolewa.Basi mngekuwa mnafanyia mambo yenu chumbani na sio kwenye public.
Mfumo wa majimbo ni mbovu kwa nchi masikini hizi za ulimwengu wa tatu. Unakuta nchi haina ethnicity na ukanda kama Tanzania nayo kuna watu wanalazimisha iwe Federation.Mfumo huo unareflect mfumo wa majimbo.