Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sawa babe, uzuri namba yangu unapiga ht kama huna salio 🔥🔥🔥🔥Nakuja daddy, leo usiku nakupigia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa babe, uzuri namba yangu unapiga ht kama huna salio 🔥🔥🔥🔥Nakuja daddy, leo usiku nakupigia
Principle za discourse analysis zinakataa uanchokizungumza Mzee. There is no Ideological neutral person. We are all linient .
Bangeeee kali mbaya sana
Very correctPrinciple za discourse analysis zinakataa uanchokizungumza Mzee. There is no Ideological neutral person. We are all linient .
Hiyo kauli bado inaishi hata wasipoambiwaKwani mwaka huu wasimamizi wa uchaguzi hawajaambiwa kauli ya "mshahara unalipwa na serikali ya sisemu halafu unamtangaza mpinzania?", kama imetolewa hiyo kauli, basi wasishiriki si kwa sababu ngazi hizo hazina umuhimu, bali kwa kuwa ni upotezaji wa muda.
Sizitaki Mbichi Hizi Sungura Akagumia [emoji23]
Kwani watakuwa wanamkomoa nani? Vyama vingine si vitashiriki au?Sijawahi kuona umuhimu wa nafasi za wanyeviti wa wa serikali za mitaa katika mabadiliko au maendeleo ya nchi, kikubwa ninachokifahamu kama sehemu ya majukumu yao ni kugongea mihuri watu tu. Maamuzi yote muhimu huwa yanafanywa ngazi ya Halmashauri ya wilaya na kata.
Katika huu uchaguzi unaotarajiwa wa serikali za mitaa CHADEMA ni kama wapo mguu mmoja ndani mguu mmoja nje, wafanye uamuzi kamili na watoe msimamo wao kuhusu uchaguzi, kwa uhalisia hakuna umuhimu wa wao kushiriki, sioni faida yoyote itokanayo na wao kushriki huu uchaguzi, uchaguzi muhimu zaidi ni wa mwakani wa madiwani, ubunge na urais.
Bora hata waachane na Wabunge, Madiwani na Urais kuliko HawaViongoz wa kitongoji na vijiji watekelezaji wa maagizo toka ngazi ya kata na wilaya so ni wa muhimu sana kuliko unavyodhani
Kwani hata wakishiriki itawasaidia nini wakati wataenguliwa karibu wote na kubakishwa wachache tu kama ushahidi kwamba CHADEMA walishiriki kikamilifu na kuihadaha dunia kuna demokrasiaKwani watakuwa wanamkomoa nani? Vyama vingine si vitashiriki au?
Mwisho siungi mkono kuengua wagombea wa Upinzani Kwa sababu zisizo na mashiko.
Hao ndio wanaweza kuwatafutia kura za Urais maana wanaishi na watu au kuwapatia wagombea sahihi.Wenyeviti wa serikali za mitaa wanaweza kuleta mabadiliko gani kati nchi??
Utapataje Urais bila kushika Bunge?Kura za urais huwa zinatafutwa nchi hii au zipo tu??