LGE2024 CHADEMA iachane na uchaguzi wa serikali za mitaa na kutangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mfumo mzima wa elimu nchini ufumuliwe.

Inakuaje Una mawazo Kama haya?
 
Reactions: Tui
Ahahahaha, ndo ukweli Mzee, hzo nyingine ni disclaimers tu na face keeping. Kuwa neutral nikusema you are thoughtless and so unemotional
 
Aina haha kushiriki uchaguzi wowote ule, Kwa mazingira ya kisiasa yalivyo, kushiriki chaguzi hizi ni kubariki katiba tuliyonayo pia ni kubariki utekajiunaoendelea
 
Hiyo kauli bado inaishi hata wasipoambiwa
 
Aina haha kushiriki uchaguzi wowote ule, Kwa mazingira ya kisiasa yalivyo, kushiriki chaguzi hizi ni kubariki katiba tuliyonayo pia ni kubariki utekajiunaoendelea
CHADEMA kuna muda hawajielewei
 
Kwani watakuwa wanamkomoa nani? Vyama vingine si vitashiriki au?

Mwisho siungi mkono kuengua wagombea wa Upinzani Kwa sababu zisizo na mashiko.
 
Kwani watakuwa wanamkomoa nani? Vyama vingine si vitashiriki au?

Mwisho siungi mkono kuengua wagombea wa Upinzani Kwa sababu zisizo na mashiko.
Kwani hata wakishiriki itawasaidia nini wakati wataenguliwa karibu wote na kubakishwa wachache tu kama ushahidi kwamba CHADEMA walishiriki kikamilifu na kuihadaha dunia kuna demokrasia
 
Wenyeviti wa serikali za mitaa wanaweza kuleta mabadiliko gani kati nchi??
Hao ndio wanaweza kuwatafutia kura za Urais maana wanaishi na watu au kuwapatia wagombea sahihi.

Kwani Mabadiliko yanaletwa na nani?
 
Hao ndio wanaweza kuwatafutia kura za Urais maana wanaishi na watu au kuwapatia wagombea sahihi.

Kwani Mabadiliko yanaletwa na nani?
Kura za urais huwa zinatafutwa nchi hii au zipo tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…