LGE2024 CHADEMA iachane na uchaguzi wa serikali za mitaa na kutangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwanza nashangaa wanashiriki vipi wakati walishasema hawatashiriki uchaguzi wowote mpaka ipatikane Katiba Mpya!! Lakini kwa sababu viongozi wao wanawaongoza nyumbu sinapelekeshwa tu!!
 
Visingizio vya Kushindwa
CHADEMA ingeshindaje ubunge kwa kina Nape, Makamba, Majaliwa na sehemu nyingine nyingi wakati hata wagombea wake hawakuweza kupata fursa ya kugombea kwa kuanzia?? Ulitegemea miujiza ifanyike majina ya wagombea wa CHADEMA walioenguliwa au kuporwa fomu yatokee katika karatasi za kupiga kura??
 
Visingizio fc
 
CHADEMA kuna muda hawajielewei
Kuna muda gani wanajielewa?Lissu anadai hawana uwezo wa kusimamisha wagombea laki 3 kwenye vitongoji vyote. Viongozi wengine wanadai wanafanyiwa vigisu.Chama hakina musuli wa kushindana kimebakia na visingizio na sababu za kijinga.Huwezi kushinda uchaguzi wowote kama huna nguvu kwenye grassroots ambako ndio kwenye kura nyingi.Ukitegemea mijini utashindwa tu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Pumba, chama hakina nguvu huku mnaengua wagombea wake.
 
Pumba, chama hakina nguvu huku mnaengua wagombea wake.
Lissu anaongopa anaposema hamna uwezo wa kusimamisha wagombea laki 3?Muenguliwe wa nini wakati hamna wagombea?Au Lissu anazusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…