Mkuu Idugu,
Idugunde, kwanza nikupongeze kwa hoja hii, ambayo ni hoja ya msingi sana, kwasababu hata ingetokea Chadema ikachaguliwa na wananchi, but has no capacity to lea, haita watu competent wa kutosha kuunda serikali, hili tumelisema sana humu
japo naheshimu mawazo yako ila sikubaliani nayo kwasababu huu ndio ule utopia niliokuwa nauzungumzia humu.
Yes naunga mkono ndio maana tukawashauri
PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
Sio kweli, kuwa CCM ni chama cha familia chache ni chama cha Watanzania wote ambapo
"CCM sio tu ni chama cha siasa, CCM ni chama tawala kinachotawala Dola, CCM ni chama Dola, CCM ni Dola!" hivyo kwa katiba hii ya JMT ya mwaka 1977, ambayo ni ya CCM, CCM ingetawala milele!. Mshukuruni Rais Samia, anakwenda kutupa katiba mpya hivyo jipangeni kwa 2030 kama nilivyowashauri hapa
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Sii kweli!, ila huu ushauri wako wa CHADEMA ianze kuanda viongozi watakaounda serikali maana njia ni nyeupe kuchukua dola kwa njia ya box la kura ni ushauri mzuri, Chadema ilikuwa na fursa uchaguzi Mkuu wa 2015, kwasababu
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! , njia ya ilikulu ilikuwa nyeupe,
Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni! dalili zote zilikuwa supper,
GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...! Chadema, hawakujipanga, wakaikosa fursa ya 2015.
Uchaguzi wa 2025 ulikuwa ni bonge la fursa kwa Chadema, shetani alivyo mbaya akawaingia Chadema
TL ni school mate wangu, nilikabili nikamshauri
View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=8n4tQGd3w7Wn5vop
Haikusaidia kitu!, kwa uchaguzi wa 2030 kwa chadema kuchukua nchi ni next to imposible kwasababu rais wa 2030 tayari yupo, namjua anasubiri tuu kuapishwa,
Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo! Chadema wajipange kwa 2040!.
P