YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE