CHADEMA ibadili jina badala ya kujiita CHADEMA ijiite CHADE

Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.

Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.

Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .

Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Hujameza sawa zako? Mbona kama umezidiwa? Wahi kunywa dawa wewe chawa na hakuna mjinga wa kuondolewa kwenye wazo kuu la cag na uvunjivu wa katiba pamoja na hizo nondo na mapanga mnayowakatia wagombea pinzani!
 
Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.

Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.

Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .

Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Mbona unaweweseka sana na CHADEMA? Kali mambo yenu ya Lumumba. Kama unawashwawashwa kabadili jina badili LA kwenu.
 
hahaa, vipi na chama yetu pendwa, iitwe CC baada ya kazi ya mapinduzi kuisha?
 
Ukweli ni kwamba hata demokrasia yenyewe hawana. Ni bora ikawa Chama cha Wapinga Maendeleo - CHAWAMA
 
Nilimsikia kichaa mmoja akisema kiitwe " Chama cha Maendeleo (CHAMA)"
 
Chadema ni ukoo wa kambale kila mtu mjuji
Ww ni wale wajinga ambao mkisikia neno lolote mnalibeba na kulitamka ili muonekane mnaenda na fashion. Cdm hawana muda wa kupinga kila kitu, bali wanapinga na kukosoa chochote kisicho sawa. Umeona cdm wakipinga au kukosoa ujenzi wa miundombinu ya barabara au hospitali? Huna hoja bali ww ni wale bendera fuata upepo.
 
Back
Top Bottom