Sahihi kabisa 100%Na kile kiingine kiitwe Chama cha Mazuzu au?
Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Na CCM kwa hizi siasa zenu chàfu za kuteka,kutesa na kuua wapinzani mubadili jina kiitwe Chama Cha Magaidi.Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Wameiba nini? Tufahamishane tafadhari.Majizi chadema
Huyo ni ms3mge sana aliibiwa mamee na dadee.Wameiba nini? Tufahamishane tafadhari.
Ukiwa kwenye heat lazima uitaje ChademaMajizi chadema
Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Chama Chenye Maendeleo (CCM).
Achana na hawa CHADE hata ukitoa mchango wa Mambo ya maendeleo kwa upande wa Taifa.
Chama chenye ni Maskini tu(Hakuna maendeleo yeyote zaidi ya kupiga Zogo za akina Mwajuma na Aisha).
Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Ndio maana wamemuondoa CAG baada ya kuweka hadharani ufisadi wa 1.5 trillion Chadema noma sanaMajizi chadema
Ukiwa kwenye heat lazima uitaje ChademaView attachment 1253514
Mtoto anatoa jicho kama loteHahahaa kumbe ndio huyu.