Hujameza sawa zako? Mbona kama umezidiwa? Wahi kunywa dawa wewe chawa na hakuna mjinga wa kuondolewa kwenye wazo kuu la cag na uvunjivu wa katiba pamoja na hizo nondo na mapanga mnayowakatia wagombea pinzani!Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
Mbona unaweweseka sana na CHADEMA? Kali mambo yenu ya Lumumba. Kama unawashwawashwa kabadili jina badili LA kwenu.Kirefu Cha CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.Lakini toka kianzishwe kimekuwa kikipiga yowe zaidi kuongelea Demokrasia .Upande wa Maendeleo kimekuwa hakiongelei na kimekuwa kikipinga kila jambo la Maendeleo linalofanyika.Neno Maendeleo kwenye jina la Chadema halina kazi.
Nashauri waondoe neno Maendeleo kwenye jina la Chama sababu haliko active limekaa tu wabakize neno Demokrasia tu.Kwa hiyo kiitwe CHADE yaani Chama Cha Demokrasia.
Japo hata kujiita Chama Cha Demokrasia ni kuwapa bichwa wasilokuwa nalo sababu ndani ya Chama kwenyewe hamna Demokrasia lakini libaki tu sababu siku moja moja huwa wanapayuka payuka kuhusu Demokrasia .
Hivyo nashauri Chadema ibadili jina kutoka Chadema kuwa CHADE
kweli kabisa majizi yanamtisha CAG mpya asiikague sana serikali.Majizi chadema
hiyo ni fisiemu.hahaa, vipi na chama yetu pendwa, iitwe CC baada ya kazi ya mapinduzi kuisha?
Ndio maana wamemuondoa CAG baada ya kuweka hadharani ufisadi wa 1.5 trillion Chadema noma sana
Mods mko wapi!@active...ondoa huu ujinga!..
Ila ww mtoa mada sio bure!
Ww ni wale wajinga ambao mkisikia neno lolote mnalibeba na kulitamka ili muonekane mnaenda na fashion. Cdm hawana muda wa kupinga kila kitu, bali wanapinga na kukosoa chochote kisicho sawa. Umeona cdm wakipinga au kukosoa ujenzi wa miundombinu ya barabara au hospitali? Huna hoja bali ww ni wale bendera fuata upepo.
Chadema ni ukoo wa kambale kila mtu mjuji
Chadema wameiba nini mpaka waitwe majizi?CAG ni chadema
CCM ni ukoo wa panya kila mtu mwiziChadema ni ukoo wa kambale kila mtu mjuji