Pre GE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

Pre GE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba wabunge wakipata wengi ndio sheria zitafuatwa? Watapataje wabunge wengi kwa hizi chaguzi za kihayawani?
They have to make the best of a bad situation! Kumbuka, baada ya general election ya 2015 wapinzani walikuwa na viti vingi Bungeni pamoja na kwamba wamekuwa na tatizo la kushindwa kuvipa viti vya ubunge priority. Kama priorities zao zingekuwa sawa, pengine kufikia wakati huo, kwa umoja wao, wangekuwa wameshapata controlling majority ya viti vya Bunge. Wakishakuwa na control ya Bunge, yumkini unajua, wanaweza kufuta sheria kandamizi.
 
Ni mpumbavu Tu atakayesapoti huu upumbavu ulioandika, ningekua mimi Niko CCM kile kitendo Tu cha Mwenyekiti wenu kuwapiga chenga Mchana kweupe ingekua ni bonge la red flag.....ila sasa mnavyojitoa ufahamu Hadi mnakera
Aah

Mwaka wa tabu huu

Trump kachana mkeka
 
Aah

Mwaka wa tabu huu

Trump kachana mkeka
Kwa kweli
IMG-20250211-WA0046.jpg
IMG-20250214-WA0030.jpg
 
They have to make the best of a bad situation!
Hii inaitwa appreciating the situation,natamani viongozi wa upinzani wakusome。
Kumbuka, baada ya general election ya 2015 wapinzani walikuwa na viti vingi Bungeni pamoja na kwamba wamekuwa na tatizo la kushindwa kuvipa viti vya ubunge priorities. Kama priorities zao zingekuwa sawa, pengine kufikia wakati huo, kwa umoja wao, wangekuwa wameshapata controlling majority ya viti vya Bunge. Wakishakuwa na control ya Bunge, yumkini unajua, wanaweza kufuta sheria kandamizi.
Naunga mkono hoja,wapinzani wa Tanzania,they have never been one,wangeungana and stand together as one,amini nakuambia 2025 ni fursa huu mbuyu,unakwenda chini!。
P
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikiwa walimudu kusimamisha wagombea asilimia 33 tu kote nchini kabla ya kudai kuondolewa ni tafsiri ya kukosekana uongozi imara kuanzia ngazi za chini hadi kanda.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kwa kazi za maendeleo zilizofanyika na mwenendo huu tunaouona nashawishika kusema Rais aliopo Dkt Samia Suluhu Hassan atashinda tena kwa kishindo.

Sasa kwa kuwa tunahitaji wapinzani wazuri bungeni ni rai yangu chama hiki kielekeze nguvu kwenye udiwani na ubunge angalau waambulie wawakilishi wachache kule kuliko kupoteza muda na Urais halafu wakapigwa pakubwa sana.

Au wanajukwaa mnaonaje???
Uko sahihi ila watakutukana.
 
Kama tungekuwa na Tume Huru na ya Haki ya Uchaguzi tungeamini hicho unachokisema!
Ni jukumu la Wapiga kura wenyewe kuamua nani anayeonekana ni Presidential material.
Siyo lazima atoke CHADEMA tu.
Kwa utafiti huo hata huyu tuliyenaye siyo Presidential material! Ndiyo maana inatumika nguvu kumbakisha madarakani!
Kwa hiyo tukubali marekebisho ya Katiba na Sheria za Uchaguzi zitakazotupa Tume iliyo Huru na Haki.
 
Ni mpumbavu Tu atakayesapoti huu upumbavu ulioandika, ningekua mimi Niko CCM kile kitendo Tu cha Mwenyekiti wenu kuwapiga chenga Mchana kweupe ingekua ni bonge la red flag.....ila sasa mnavyojitoa ufahamu Hadi mnakera
Hv kumbe we zombie hivyo? Povu la nini, nyie nyumbu mnaumwa kwl. Mgombea yupi wa uRais mnaye? We ni zaidi ya zwazwa. Lissu ht 10% hawezi pata, tuombe uzima tutashuhudia.
 
Hv kumbe we zombie hivyo? Povu la nini, nyie nyumbu mnaumwa kwl. Mgombea yupi wa uRais mnaye? We ni zaidi ya zwazwa. Lissu ht 10% hawezi pata, tuombe uzima tutashuhudia.
Eeghh hawezi kupata 10% kwakua mnakua upumbavu mnaofanya. Narudia tena ni mpumbavu Tu anayeamini kuwa CCM waliwahi kushinda kihalali uchaguzi wowote
 
Rais aliopo Dkt Samia Suluhu Hassan atashinda tena kwa kishindo.
Kungekuwa kuna uchaguzi wa haki ushindi wa kishindo haupo hapo kuna kushindwa kwa kishindo,CCM haichaguliwi kutokana na maendeleo yanayofanyika chini ya serekali yake,CCM inachaguliwa na tume na vyombo vya dola.

Rejea kauri ya Nape,ushindi hautegemei kura za kwenye boksi,kuna anayehesabu,kuna robo halali,kuna nusu halali,na kuna haramu,tukishafanya tunatubu kwa mungu na porini huwa wanakwenda kufanya nini?.
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ikiwa walimudu kusimamisha wagombea asilimia 33 tu kote nchini kabla ya kudai kuondolewa ni tafsiri ya kukosekana uongozi imara kuanzia ngazi za chini hadi kanda.

NI kwel hapo wapinzan wajipange kihvo, angarau bungen kuwe pamoto.
make bungen wakitawala paka wa aina moja wataelewana kwa pamoja hoja zao na kupitisha. hapo raia tutabuluzwa
Kwel mwaya wapinzan wajipange, make paka wakijitawala wa aina moja kila hoja bungen wataitka yec... Hapo raia ni maumivu
 
Hata ubunge bado waongeze nguvu kupata madiwani wengi, wakifanikiwa ktk udiwani ni rahisi kupata wabunge wengi miaka ijayo...
 
Back
Top Bottom