Pre GE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

Pre GE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
"Bila mabadiliko uchaguzi hamna" zungumzieni mabadiliko ya tume ya uchaguzi kwanza ndio mtoe ushauri kwa chama.
 
Chadema washiriki uchaguzi ambao Nape alisema wazi kabisa hauamuliwi na kura halali za wananchi bali anayetanga,a matokeo ili Iweje?
 
They have to make the best of a bad situation! Kumbuka, baada ya general election ya 2015 wapinzani walikuwa na viti vingi Bungeni pamoja na kwamba wamekuwa na tatizo la kushindwa kuvipa viti vya ubunge priority. Kama priorities zao zingekuwa sawa, pengine kufikia wakati huo, kwa umoja wao, wangekuwa wameshapata controlling majority ya viti vya Bunge. Wakishakuwa na control ya Bunge, yumkini unajua, wanaweza kufuta sheria kandamizi.
Naona uko nje ya nchi, hivyo unaongea nadharia lakini hujui uhalisia.
 
Hata ubunge na udiwani hawatoboi kwa mbinu nilizoshuhudia za wizi wa kura
 
Back
Top Bottom