Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
They have to make the best of a bad situation! Kumbuka, baada ya general election ya 2015 wapinzani walikuwa na viti vingi Bungeni pamoja na kwamba wamekuwa na tatizo la kushindwa kuvipa viti vya ubunge priority. Kama priorities zao zingekuwa sawa, pengine kufikia wakati huo, kwa umoja wao, wangekuwa wameshapata controlling majority ya viti vya Bunge. Wakishakuwa na control ya Bunge, yumkini unajua, wanaweza kufuta sheria kandamizi.Kwamba wabunge wakipata wengi ndio sheria zitafuatwa? Watapataje wabunge wengi kwa hizi chaguzi za kihayawani?
AahNi mpumbavu Tu atakayesapoti huu upumbavu ulioandika, ningekua mimi Niko CCM kile kitendo Tu cha Mwenyekiti wenu kuwapiga chenga Mchana kweupe ingekua ni bonge la red flag.....ila sasa mnavyojitoa ufahamu Hadi mnakera
Kaka uwage na msimamo Kamili! Hii ya kuunga mkono kila kitu haiko Sawa
Mbona kama agenda ni yake alileta mwaka juzi?Kaka uwage na msimamo Kamili! Hii ya kuunga mkono kila kitu haiko Sawa
Wana CCM wakiona bandiko la Askofu Bagonza " Tutofautishe Dini na SIASA"Mbona kama weee ndio umeiga agenda yake aliyotoa mwaka juzi?
Hii inaitwa appreciating the situation,natamani viongozi wa upinzani wakusome。They have to make the best of a bad situation!
Naunga mkono hoja,wapinzani wa Tanzania,they have never been one,wangeungana and stand together as one,amini nakuambia 2025 ni fursa huu mbuyu,unakwenda chini!。Kumbuka, baada ya general election ya 2015 wapinzani walikuwa na viti vingi Bungeni pamoja na kwamba wamekuwa na tatizo la kushindwa kuvipa viti vya ubunge priorities. Kama priorities zao zingekuwa sawa, pengine kufikia wakati huo, kwa umoja wao, wangekuwa wameshapata controlling majority ya viti vya Bunge. Wakishakuwa na control ya Bunge, yumkini unajua, wanaweza kufuta sheria kandamizi.
Uko sahihi ila watakutukana.Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ikiwa walimudu kusimamisha wagombea asilimia 33 tu kote nchini kabla ya kudai kuondolewa ni tafsiri ya kukosekana uongozi imara kuanzia ngazi za chini hadi kanda.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa kazi za maendeleo zilizofanyika na mwenendo huu tunaouona nashawishika kusema Rais aliopo Dkt Samia Suluhu Hassan atashinda tena kwa kishindo.
Sasa kwa kuwa tunahitaji wapinzani wazuri bungeni ni rai yangu chama hiki kielekeze nguvu kwenye udiwani na ubunge angalau waambulie wawakilishi wachache kule kuliko kupoteza muda na Urais halafu wakapigwa pakubwa sana.
Au wanajukwaa mnaonaje???
Hv kumbe we zombie hivyo? Povu la nini, nyie nyumbu mnaumwa kwl. Mgombea yupi wa uRais mnaye? We ni zaidi ya zwazwa. Lissu ht 10% hawezi pata, tuombe uzima tutashuhudia.Ni mpumbavu Tu atakayesapoti huu upumbavu ulioandika, ningekua mimi Niko CCM kile kitendo Tu cha Mwenyekiti wenu kuwapiga chenga Mchana kweupe ingekua ni bonge la red flag.....ila sasa mnavyojitoa ufahamu Hadi mnakera
Eeghh hawezi kupata 10% kwakua mnakua upumbavu mnaofanya. Narudia tena ni mpumbavu Tu anayeamini kuwa CCM waliwahi kushinda kihalali uchaguzi wowoteHv kumbe we zombie hivyo? Povu la nini, nyie nyumbu mnaumwa kwl. Mgombea yupi wa uRais mnaye? We ni zaidi ya zwazwa. Lissu ht 10% hawezi pata, tuombe uzima tutashuhudia.
We bwege urais unasomewa wapi, alibeba file za mamako we kima? Rais wetu amesomea vyuo bora mojawapo Chuo kikuu cha Manchester.Kizimkazi kutoka kutumwa kubeba mafaili mpaka Urais alisomea wapi?
Nampa pole mamakoEeghh hawezi kupata 10% kwakua mnakua upumbavu mnaofanya. Narudia tena ni mpumbavu Tu anayeamini kuwa CCM waliwahi kushinda kihalali uchaguzi wowote
Kungekuwa kuna uchaguzi wa haki ushindi wa kishindo haupo hapo kuna kushindwa kwa kishindo,CCM haichaguliwi kutokana na maendeleo yanayofanyika chini ya serekali yake,CCM inachaguliwa na tume na vyombo vya dola.Rais aliopo Dkt Samia Suluhu Hassan atashinda tena kwa kishindo.
Kwel mwaya wapinzan wajipange, make paka wakijitawala wa aina moja kila hoja bungen wataitka yec... Hapo raia ni maumivuHuu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ikiwa walimudu kusimamisha wagombea asilimia 33 tu kote nchini kabla ya kudai kuondolewa ni tafsiri ya kukosekana uongozi imara kuanzia ngazi za chini hadi kanda.
NI kwel hapo wapinzan wajipange kihvo, angarau bungen kuwe pamoto.
make bungen wakitawala paka wa aina moja wataelewana kwa pamoja hoja zao na kupitisha. hapo raia tutabuluzwa
Naam…. Wamejaaliwa mitusiUko sahihi ila watakutukana.
Tupo hapa mkuu,Dua la kuku...