They have to make the best of a bad situation! Kumbuka, baada ya general election ya 2015 wapinzani walikuwa na viti vingi Bungeni pamoja na kwamba wamekuwa na tatizo la kushindwa kuvipa viti vya ubunge priority. Kama priorities zao zingekuwa sawa, pengine kufikia wakati huo, kwa umoja wao, wangekuwa wameshapata controlling majority ya viti vya Bunge. Wakishakuwa na control ya Bunge, yumkini unajua, wanaweza kufuta sheria kandamizi.