Maana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini.
Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho.
Ukianza kutazama kiongozi mojamoja kuanzia ngazi ya kitaifa utakubalina na mimi kwamba huenda chama hiki ni cha dini au dhehebu fulani la kiimani.
Wapo viongozi wachache kadhaa, mathalani kutoka Zanzibar ambao kwa uchache wao imeshindikana kabisa kubadili sura ya kidini inayoonekana na kujidhihirisha bayana chadema.
Kuna muda chadema inajivika utakatifu wa usahihi wa kila kitu wanacho amini wao kinafaa kwa wote kulingana na itikadi ya dini yao, kanakwmba kinafaa hata kwa wasio husika na chama chao cha siasa chenye sura ya dhehebu fulani la kidini.
Halafu sambamba na utakatifu huo, sura ya miheko na matusi mazito mazito ya wafuasi wa chadema huibuka kutetea jambo hilo kwa kuporomosha matusi, kanakwamba huo ndio mtindo wa imani yao kujibu masuala mbalimbali, hususan pale yanapoibuka maoni na mitazamo tofauti na wanachokiamini wao.
Je,
hali hii inaweza kua ni sababu ya Chadema kupoteza ushawishi, uungwaji mkono na kupoteza uelekeo wake kisiasa nchini?
Na unadhani,
ni kwanini wanachama, mashabiki na wafuasi wa wa chadema, hawawezi kujibu au kujadili hoja kinzani na mtazamo wao bila mihemko au kuporomosha matusi?
check mapovu kwenye comments kuthibitisha hilo 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Wanasema CCM ina mbinu 52 za kudili na upinzani na mpaka sasa zimetumika 2 tu, sasa inakuwaje mnarudia mbinu ya udini ambayo mliitumia kuisambaratisha cuf! Wakati umebadilika njoeni na mbinu nyingine wachaneni na udini, kubambikiana kesi na kununua watu zishatumika hizi.
Jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman,Kiasi gani umelipwa Mr Business Man? mbona unakuwa mtapeli, Ukilipwa jitahidi kuandika vitu vya maana!
Mojawawapo huyo, wanachoweza ni kukushambuli, kukutukana. Ila JF ni Chadema threads zetu huwezi ona humu. Ila upumbavu wote uzushi, upotoshaji, matusi yao ndio yamejaa humu. Hawataischa salams JFKiasi gani umelipwa Mr Business Man? mbona unakuwa mtapeli, Ukilipwa jitahidi kuandika vitu vya maana!
Jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman,
ikiwa huna mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja hiyo nzito sana mezani, huna haja ya kua na mihemko 🐒
Salim Ahmed Salim aliukosa urais kisa Uhizib🤣🤣🤣🤣🤣
Huu mtandao mods wake ndio wafuasi wa hao nyumbu, ole wako uwajibu accordingly utapigwa ban ila wao watamshambulia yeyote wanapeta, watamtukana mtu mzima kuwa ni nyani hakuna anayewagusa. Chombo chochote cha hbr kikiegemea upande flani mwishowe kitapuuzwa. Kuna yale magazeti ya Mwanahalisi, Tanzania Daima nani ana muda navyo. Ni suala la muda wengine tutaukimbiaMaana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini.
Uongozi wa kitaifa mpaka kwenye majukwaa ya kisiasa, udini unajidhihirisha wenyewe kabisa bila kificho.
Ukianza kutazama kiongozi mojamoja kuanzia ngazi ya kitaifa utakubalina na mimi kwamba huenda chama hiki ni cha dini au dhehebu fulani la kiimani.
Wapo viongozi wachache kadhaa, mathalani kutoka Zanzibar ambao kwa uchache wao imeshindikana kabisa kubadili sura ya kidini inayoonekana na kujidhihirisha bayana chadema.
Kuna muda chadema inajivika utakatifu wa usahihi wa kila kitu wanacho amini wao kinafaa kwa wote kulingana na itikadi ya dini yao, kanakwmba kinafaa hata kwa wasio husika na chama chao cha siasa chenye sura ya dhehebu fulani la kidini.
Halafu sambamba na utakatifu huo, sura ya miheko na matusi mazito mazito ya wafuasi wa chadema huibuka kutetea jambo hilo kwa kuporomosha matusi, kanakwamba huo ndio mtindo wa imani yao kujibu masuala mbalimbali, hususan pale yanapoibuka maoni na mitazamo tofauti na wanachokiamini wao.
Je,
hali hii inaweza kua ni sababu ya Chadema kupoteza ushawishi, uungwaji mkono na kupoteza uelekeo wake kisiasa nchini?
Na unadhani,
ni kwanini wanachama, mashabiki na wafuasi wa wa chadema, hawawezi kujibu au kujadili hoja kinzani na mtazamo wao bila mihemko au kuporomosha matusi?
check mapovu kwenye comments kuthibitisha hilo 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Angalia huyo, hv wanaumwa au nn tatizo?Una Mada au upumbavu
Umekariri tu weweKwa nini Africa ni maskini?swali la history degree ningejibu kupenda dini za wazungu na waarabu
Kwahyo ile Propaganda ya Uchaga ndo basi tena eeeenhMaana ukiitazama chadema kwa haraka utadhani ni nyumba ya ibada au dhebebu Fulani la dini.