PreGE2025 CHADEMA ifanye nini kuondokana na sura ya udini na ushari iliyojivika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unatumia propaganda ya kizamani sana. Si kweli kwamba chadema kina sura ya udini na udhehebu fulani ingekuwa hivyo tungeona waziwazi kama chama fulani kilivyokuwa kinaonekana waziwazi bila haya kuonekana ni cha dini fulani. Chadema ni chama cha kitaifa kama ccm na ni mbadala wa ccm kuongoza nchi. Umeambiwa chadema haitoshiriki uchaguzi, hebu acha kuandika upupu pumzika, kuna ACT wazalendo wapo vizuri na wamejipanga kugombea, kaandike propaganda huko isipunguze kura za ushindi wa ccm, chadema hutaiweza
 
Kosa lao kubwa awa nyumbu kumvua U wenyekiti Kiongozi mwenye Uwezo Uwelewa maono mkubwa kwenye matukio ya Kisiasa !!!

Mfano kumpa Nafasi Edward Lowassa RIP na kumtupa Dk Slaa kugombea Urais wengi walikuwa awajamuelewa Mzee Mbowe !!!!

tukio lile ndio limeweka Istoria kwa Upinzani nusura Wachukue Utawala Mkoa huu wa Dar ulikuwa wa CHADEMA adi MEYA wa CHADEMA!!!!

kwamala ya kwanza mikoa mingi Walipata Wabunge asa Dar Kaskazini Iringa Mbeya Upinzani ulikuwa Umenawili sana !!!!

lkn Tusisaau Edward Lowassa ni zao la CCM ndio kusema J. K. Nyerere alitabili ukweli mtupu Upinzani wa kweli utatokea CCM tumeona kipunga cha Lowassa mungu amuifadhi mzee wetu..!!!!

mwengine Augustino Mrema RIP nayeye zao la CCM nae kivumbu kilikuwa kikubwa Sana walipata Wabunge wengi sana enzi ya kina MASUMBUKO LAMWAI na MABERE MARANDO ulikuwa moto sio kidogo !!!!

lkn sasaivi CHADEMA chini ya LISU ukiacha Udini ata kisiasa tu kinapotea Sababu kiongozi yani Mwenyekiti akikosa Maono Busara utulivu wa kuamua mambo alaka ya mafanikio pupa !!!!

ujue CHADEMA inaenda kupoteza nguvu zake Ushawishi wake kilipotezwa nguvu na JPM RIP baada Siasa kupigwa ban miaka kadhaa watu wakakisaau kwa asilimia kubwa tu !!!!

lkn Sasa kimeenda kujipoteza Chenyewe Kisheria kwa miaka 5 Sijui Baada ya apo itakuwaje au ndani ya iyo miaka 5 je kitaruusiwa kufanya mikutano yao yandani au nje !!??

Baada ya Uchaguzi huu wa 2025!!?? Je Uchaguzi wa serikali za mitaa 2029 kitaruusiwa nk !!!??

ikiwa ndio marufuku mazima ya miaka 5 basi kimejikaangaa vibaya!!!

Mzee Mbowe pengine machozi yanamtoka uko alipo Chama chake kimeenda kupoteza nguvu na Ushawishi wake km kilivokuwa chini yake!!!!

mwisho inawezekana Ajali ya kisiasa ya kuanguka ktk Uchaguzi Mzee Mbowe ikasambalatisha Upinzani nchni ngoja tuone ili picha bado gumu !!!!

kwamtazamo wangu wasasa naona kama Mzee Mbowe alikuwa sio tu Mwenyekiti wa CHADEMA pengine alishikilia maono ya Upinzani kwa Ujumla !!!!

kuanguka kwake tetemeko lake aliishii CHADEMA tu pengine mdodolo Utavikumba na Vyama vengine !!!!

kuna kitu nakiona Upinzani unaenda pitia magumu !!!

kias CCM itabidi ijibebeshe tena zigo la kuvibeba vyama visijifie kabisa !!!

Mbowe alikuwa Moyo wa upinzan nchini sasa nagundua ,,,
 
Mliwatafuta kwenye ukanda na ukabila mmewakosa, sahiz mnatafuta udini hahahaha. Viongoz waliopo sasa walichaguliwa kwa utaratibu halali, kupigiwa kura.

Dini haikuwa kigezo cha kuhombea, chama hakiongozwi na msikiti wala kanisa.
 
Mwenyeketi hakuvuliwa kwa kufukuzwa, alivuliwa kwa kura. The way umeandika hapa as if walimfukuza ni kituko

Chadema ilikuwa imelala sana, walihitaji mtu wa kuwarudisha kwenye mchaka mchaka where they belong.
Na hiyo kusema kwambq hawatoshiriki, wape muda uone, hiyo ban ya 5 years haito apply na watawarudisha kwenye uchaguz
 
Usizipunguze ndugu. Zipo 1000!
 
Chadema wanajiegemeza sana kwenye Kanisa Moja Katoliki la Mitume Tanzania. Wanaamini kwa kutumia Kanisa Katoliki basi litawapeleka Ikulu. Ndio maana unawasikia wapambe wao humu wakitishia kila mara eti "Ngoja TEC watoe Waraka wa Pasaka" muone"!.

Nasi tunasubiri kwa hamu tusikie wanasema, Lissu aachiliwe halafu aachiliwe kweli. Kisha waseme No Reform, No Election na Uchaguzi Mkuu uhairishwe.
 
WIsilamu wakiona Rais ni mwenzao hata aharibu vipi hutakuja sikia wanamkosoa big up Shehe ponda
 
Haya nenda kafi.we huko na propaganda zako za kishoga,hili jukwaa nalo lishakuwa la kiboya.
 
Ebu nitajie kiongozi yeyote wa CCM kutoka Zanzibar ambaye siyo mdini.
 



Huko nyumbani kwenu si ndio machampion wa udini?

Why ujauliza cuf au serikali ya Zanzibar, unaulizia chadema Tu kuwa ni wadini
 
Mbaya sana wewe ndio unaleta udini. Katika vyama vya siasa kila mwanachama ana dini yake, na chama kakimzuii kutekeleza majukumu ya ibada kwa dini yake.
Lakini mtazamo hasi wako hauangalii huko uliko jinsi wanavyowatumia viongozi wa dini mbalimbali katika majukumu yao.
Uchawa ukizidi unapelekea kuligawa taifa kama unavyotaka kuwaaminisha wajinga wenzako.
 
Umesahau waliosema watamwombea mtarajiwa aweze kushinda na watamuombea majini yaweze kumsaidia?
Umesahau ile ilikuwa dini gani na mtarajiwa ni wa chama gani?
Jadilini maswala ya siasa sio DINI.
 
Sisi wakongwe tunakumbuka hata zamani TLP ilipokua na nguvu tuliambiwa ni ya dini fulani, ikaja CUF ya maalim Seif tukasikia ni dini fulani pia. Dini imekua silaha ya watawala kuchafua wengine. Ajabu wenye dini zao nao kimyaaaaaaa.
 
Chadema wakipata kinanda tu inakamilika kuwa kanisa katoliki
 
Umeandika utupolo pro max, of all upngozi wa chama wakatoliki ni wangapi pale? Remove walutheri, remove wasabato, remove penetecoste.
Remove dini nyingine?

Unapoandika hizo mada ujue huandikii watoto humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…