PreGE2025 CHADEMA ifanye nini kuondokana na sura ya udini na ushari iliyojivika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sisi wakongwe tunakumbuka hata zamani TLP ilipokua na nguvu tuliambiwa ni ya dini fulani, ikaja CUF ya maalim Seif tukasikia ni dini fulani pia. Dini imekua silaha ya watawala kuchafua wengine. Ajabu wenye dini zao nao kimyaaaaaaa.
lakini ukiitazama chadema unaiona ina sura ya dhehebu gani la dini gentleman?
 
Umeandika utupolo pro max, of all upngozi wa chama wakatoliki ni wangapi pale? Remove walutheri, remove wasabato, remove penetecoste.
Remove dini nyingine?

Unapoandika hizo mada ujue huandikii watoto humu
kwahiyo ndugu mdau,
kwa maelezo yako mafupi muhimu sana,
tuhitimishe kwa kusema chadema ina sura ya dini humu nchini ambao pia wanasaidia kuitetea kinagaubaga licha ya kukosa sera na uelekeo?
 
Huwa mkikosa hoja si mtulie msome mada za wengine tu!!
 
Umesahau waliosema watamwombea mtarajiwa aweze kushinda na watamuombea majini yaweze kumsaidia?
Umesahau ile ilikuwa dini gani na mtarajiwa ni wa chama gani?
Jadilini maswala ya siasa sio DINI.
tafadhali ngoswe acha uzembe,
elezea wadau kwa uwaz i na kwa kina
 
Huwa mkikosa hoja si mtulie msome mada za wengine tu!!
gentleman,
ni muhimu zaidi,
ikiwa umefikia ukomo wa wako wa mwisho wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi nzito mno mezani, unakaa kimya tu bila kusumbua wadau wa JF.

na hiyo itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela dhidi ya hoja nzito uiliyokuzidi upeo
 
ngoswe,
tafadhali sana hebu relax kidogo,

mjadala huu ni muhimu sana kwa maslahi mapana na nusura ya chadema kukimbiwa na watu wa dini zisizothaminiwa ndani ya chama hicho.
Ni vizuri kujikita katika kuisaidia chadema bila mihemko
 
Huko nyumbani kwenu si ndio machampion wa udini?

Why ujauliza cuf au serikali ya Zanzibar, unaulizia chadema Tu kuwa ni wadini
ofcoz muonekano, sura na structure ya chadema kwa ujumla inaonyesha udini mtupu gentleman,
unashauri nini chadema iondokane na sura hiyo kwa umma gentleman?
 
Wewe tila tila CCM ni dini gani??je kuna dini inaruhusu kuua,kudhrumu na kuteka watu??hujuhi maana ya dini ficha ujinga ata uchawa sio dini ni shetani.
dini yangu ni ile ya kumuabudu Mungu pekee gentleman
 
Mbona sisi tunasoma za wenzetu, tulia soma contents za wenzako, haya unayoandika ni ujinga mtupu.
 
Mbona sisi tunasoma za wenzetu, tulia soma contents za wenzako, haya unayoandika ni ujinga mtupu.
sasa si nyinyi wenye mihemko watakatifu waporomosha matusi, mimi sihusiki kusoma kisicho na maana,

lakini pia mimi siishii kusoma tu nyuzi, nakoment kabisa bila kujibakiza mambo ya msing tupu sio kumbwelambwela kama ufanyavyo wewe genteman
 
Mtahangaika sana mwaka huu. Chadema bkanyagia hapo hapo wameshaanza kuelekea kibla. Kila siraha inatoka mwisho wataishiwa
 
Umeandika utupolo pro max, of all upngozi wa chama wakatoliki ni wangapi pale? Remove walutheri, remove wasabato, remove penetecoste.
Remove dini nyingine?

Unapoandika hizo mada ujue huandikii watoto humu
Na sisi ndio tunashangaa kwanini waamini katika Ukatoliki tu?
 
Ilikuwa Uchagga sasa Udini.Hivi hujui Lissu ni Ustadhi Othman.
 
Chadema wafanye wanalofanya Ila wahakikishe wanashiriki uchaguzi .. hayo mengine watawekana sawa there after.

Kifo watachokufa wasipo shiriki uchaguzi haitakuwa natural death ... Kitakuwa catastrophic well organized self suicide .
 
chadema to hang itself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…