PreGE2025 CHADEMA ifanye nini kuondokana na sura ya udini na ushari iliyojivika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kosa lao kubwa awa nyumbu kumvua U wenyekiti Kiongozi mwenye Uwezo Uwelewa maono mkubwa kwenye matukio ya Kisiasa !!!
Si mlikuwa mnamwita Mbowe sultani na anaendesha chama kama mali yake binafsi. Leo inakuwaje useme kutochaguliwa kwake CHADEMA tulikosea?
 
ngoswe,
tafadhali sana hebu relax kidogo,

mjadala huu ni muhimu sana kwa maslahi mapana na nusura ya chadema kukimbiwa na watu wa dini zisizothaminiwa ndani ya chama hicho.
Ni vizuri kujikita katika kuisaidia chadema bila mihemko
Sisi sote tu Tanzania itikadi zetu za vyama zisababishe mijala ya kidini.
Vyama ni kama clubs za mpira huyu anapenda hii na huyu hii.
Katika ushabiki huo kila mmoja ana dini yake.

Sasa tukisema kwa kuwa Goal Keeper ni dini fulani na mara kwa mara tumemuona akishiriki katika makongamano ya dini hiyo, basi hata Team yake ni wa dini yake? Hapana!

Angalia vitu vingine lakini si kuingiza udini katika siasa.
 
ofcoz muonekano, sura na structure ya chadema kwa ujumla inaonyesha udini mtupu gentleman,
unashauri nini chadema iondokane na sura hiyo kwa umma gentleman?

Serikali ya zanzibar ina structure gani? Na unaishauri nini? Wewe kama next mbunge wa ccm?
 
mashekhe wako bize kumuombea saa100
 
Serikali ya zanzibar ina structure gani? Na unaishauri nini? Wewe kama next mbunge wa ccm?
Gentleman,
mbona unahamisha magoli kinyonge sana kamanda?

mimi kama kiongozi wa wanainchi natumai wadau wa JF watafaidika zaidi na maoni yako dhidi ya namna ambavyo chadema inaweza kujinasua kutokana na sura ya udini iliyonayo kutoka uongozi wa kitaifa hata wanachama wa kawaida πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…