M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Nov 3, 2026 #1 Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia. Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa. Chadema wajitahadhari sana na LEMA. Wajifunze kupitia NCCR na CUF
Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia. Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa. Chadema wajitahadhari sana na LEMA. Wajifunze kupitia NCCR na CUF
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Nov 3, 2026 #2 Malaria 2 said: Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia. Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa. Chadema wajitahadhari sana na LEMA. Wajifunze kupitia NCCR na CUF Click to expand... Wala hakuna mfanano wowote kwenye hizo rejea zako,Lemma ameamua kutoboa mtumbwi aliopanda. Aende zake tu huko CCM anakosema ameahidiwa mambo makubwa
Malaria 2 said: Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia. Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa. Chadema wajitahadhari sana na LEMA. Wajifunze kupitia NCCR na CUF Click to expand... Wala hakuna mfanano wowote kwenye hizo rejea zako,Lemma ameamua kutoboa mtumbwi aliopanda. Aende zake tu huko CCM anakosema ameahidiwa mambo makubwa